Kiwalani Christian Centre

Kiwalani Christian Centre Karibu katika ukurasa wa kanisa la TAG Kiwalani yaani KIWALANI CHRISTIAN CENTRE. Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya kukufikia wewe kiroho kwa njia ya Neno

09/09/2024
😭😭😭😭😭😭😭Dada Yetu Esta mwendo umeumaliza Mungu atujalie mwisho mwema tulio baki
24/07/2024

😭😭😭😭😭😭😭Dada Yetu Esta mwendo umeumaliza Mungu atujalie mwisho mwema tulio baki

Karibu mwenye mkutano uoendelea hapa kanisani
12/11/2019

Karibu mwenye mkutano uoendelea hapa kanisani

11/11/2019

Watoto wakihudumu katika mkutano unaoendelea TAG kuwalani
Karibuni sana watu wote mnakarbishwa

02/05/2019
HALELUUYA!!! KIWALANI YOTE KWA        YESU!!!Katika kuazimisha miaka 80 ya TAG.Mchungaji Kiongozi wa kanisa la TANZANIA ...
23/04/2019

HALELUUYA!!! KIWALANI YOTE KWA YESU!!!

Katika kuazimisha miaka 80 ya TAG.

Mchungaji Kiongozi wa kanisa la TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD KIWALANI CHRISTIAN CENTRE (TAG) Rev. IBRAHIM ISMILE MWAKILIMA

Wanayofuraha kukualika katika SEMINA kubwa itakayofanyika katika kanisa LA TAG KIWALANI CHRISTIAN CENTRE.

Itakayoendeshwa na mtumushi wa Mungu na Mwambaji Ev. NICODEM MWAHANGILA Kuanzia KESHO JUMATANO tarehe 24/04/2019 - JUMAPILI tarehe 28/04/2019. Kuanzia SAA 10:00 JIONI

KARIBUNI WOTE, LETA WAGONJWA PAMOJA NA WENYE SHIDA MBALIMBALI. YESU MTENDA MUUJIZA YUPO TAYARI KUKUTENDEA.

07/12/2017

Shaloom

09/10/2017

Haleluya

Mtumishi wa Mungu  Mch. John Mwakalibule kutoka TAG BONYOKWA alifanyika baraka jana katika kanisa la TAG KIWALANI CHRIST...
26/06/2017

Mtumishi wa Mungu Mch. John Mwakalibule kutoka TAG BONYOKWA alifanyika baraka jana katika kanisa la TAG KIWALANI CHRISTIAN CENTRE watu walibarikiwa na kufunguliwa pia somo likiwa ni JINSI YA KUTOKA KATIKA VIFUNGO (Huwezi kutoka kwenye vifungo k**a haujabadilika na Simama juu ya mpango wa Mungu ili ufanikiwe na umuheshimu Mungu pia)

23/06/2017

Haleluuyaa!!

Address

Flale Street
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kiwalani Christian Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share