Mwl. Israel Mmary

Mwl. Israel Mmary This is the official Page for Mwl. Israel Mmary {ELCT} Mwl. Israel Mmary

Ni Mungu peke yake Mwenye kesho ya mtu.Usikate tamaa, kwa jinsi ulivyo sasa, Amini ya kwamba Mungu bado anaendelea kubad...
13/05/2026

Ni Mungu peke yake Mwenye kesho ya mtu.

Usikate tamaa, kwa jinsi ulivyo sasa, Amini ya kwamba Mungu bado anaendelea kubadilisha maisha ya Watu wake.

Zamu yako ikifika, hakuna wa kuzuia.

13/05/2026

💐🌹💐🌹💐🌹

Fanyika "Msamaria" kwa kugusa sehemu ya shida ya "Dada Esteria"
11/05/2026

Fanyika "Msamaria" kwa kugusa sehemu ya shida ya "Dada Esteria"

11/05/2026
Rudisha   kwa mtoto huyu 👇
21/04/2026

Rudisha kwa mtoto huyu 👇

Ukiwa Ibadani;Una miguu miwili, na Mikono miwili na vyote havina changamoto yoyote...Waimbaji wanakuhimiza, usimame, upi...
12/04/2026

Ukiwa Ibadani;
Una miguu miwili, na Mikono miwili na vyote havina changamoto yoyote...

Waimbaji wanakuhimiza, usimame, upige makofi kumsifu Mungu...

Basi ujue una shida ya Akili 🤔

Address

KIMARA
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwl. Israel Mmary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mwl. Israel Mmary:

Share