Tanzania calvary church

Tanzania calvary church Preaching the kingdom of God. And teaching those things that concern Jesus Christ.

Lack of zeal for the things of God causes God to separate Himself from those who lack zeal for his(GOD)work. Revelation ...
16/03/2025

Lack of zeal for the things of God causes God to separate Himself from those who lack zeal for his(GOD)work. Revelation 3:20

Kutokuwa na bidii katika mambo ya Mungu usababisha Mungu ajitenge na watu wanaokosa bidii kufanya kazi ya Mungu. Ufunuo 3:20

Wakolosai2:3Yeyote ambaye yupo ndani ya kristo,anatakiwa kuwa amejazwa na kila haina ya hazina za utajiri wa hekima na m...
16/03/2025

Wakolosai2:3
Yeyote ambaye yupo ndani ya kristo,anatakiwa kuwa amejazwa na kila haina ya hazina za utajiri wa hekima na maarifa! Kanisa haliitaji watu ambao ni vuguvugu,kanisa linaitaji watu ambao wanabidi ya kuwa watumishi wa wengine na waliojazwa na bidii ya kiroho!

Colossians 2:3
Anyone who is in Christ should be filled with every treasure of riches of wisdom and knowledge! The church doesn’t need people who are lukewarm, the church needs people who are willing to be servants of others and who are filled with spiritual zeal!

23/02/2025
Corinthians 1:10“I appeal to you, dear brothers and sisters, by the authority of our Lord Jesus Christ, to live in harmo...
23/02/2025

Corinthians 1:10

“I appeal to you, dear brothers and sisters, by the authority of our Lord Jesus Christ, to live in harmony with each other. Let there be no divisions in the church. Rather, be of one mind, united in thought and purpose.”

We succeed when we remember to put God first in everything we do, because it is God who gives us the ability to succeed ...
04/08/2024

We succeed when we remember to put God first in everything we do, because it is God who gives us the ability to succeed and get everything through him (God), who gives us the wisdom and strength to be richer.

Deuteronomy:8—-18

Tunafanikiwa pale tunapokumbuka kumtanguliza Mungu katika kila jambo tunalofanya, kwa sababu ni Mungu anayetupa uwezo wa kufanikiwa na kupata kila kitu kupitia kwake (Mungu), ambaye anatupa hekima na nguvu za kuwa matajiri zaidi.

Kumbukumbu la Torati:8—-18

Huwezi ukawa na Shauku ya kufanya mambo mema,kama Hauna mahusiano mazuri na Mungu.Muombe Mungu aijaze nafsi yako na Shau...
11/02/2024

Huwezi ukawa na Shauku ya kufanya mambo mema,kama Hauna mahusiano mazuri na Mungu.
Muombe Mungu aijaze nafsi yako na Shauku ya Kumpenda yeye(Mungu).
Zaburi:42:1

The Forgotten names will no longer be forgotten anymore. In Jesus name!
10/12/2023

The Forgotten names will no longer be forgotten anymore. In Jesus name!

Today’s Teaching When the law says no The grace of God will tell you yes.The law is the structure of rules which is set ...
10/11/2023

Today’s Teaching

When the law says no The grace of God will tell you yes.

The law is the structure of rules which is set to put order.

Grace is a favor of God to human who don’t deserve the opportunity to be favored.

:4


Mafunzo ya Leo

Sheria inaposema hapana Neema ya Mungu itakuambia ndiyo.

Sheria ni muundo wa kanuni ambao umewekwa ili kuweka utaratibu.

Neema ni Kibali kutoka kwa Mungu kwa wanadamu ambao hawastahili nafasi ya kupendelewa.

:4

God see you whenever you call upon God he will answer you! :4
10/11/2023

God see you whenever you call upon God he will answer you!
:4

Mungu ndiye msaidizi pekee anayejua mapambano na mapigano yako na yeye ndiye aliye tayari kukupigania dhidi ya adui zako...
10/11/2023

Mungu ndiye msaidizi pekee anayejua mapambano na mapigano yako na yeye ndiye aliye tayari kukupigania dhidi ya adui zako!

Mungu ndiye msaidizi pekee anayejua mapambano na vita vyako na yeye ndiye aliye tayari kukupigania dhidi ya adui zako!
:17

We were created to do the will of God.We are the carriers of the will of God.We are the the reflection of the image of G...
07/11/2023

We were created to do the will of God.
We are the carriers of the will of God.
We are the the reflection of the image of God.

Address

Bunju
Dar Es Salaam

Telephone

0693203760

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania calvary church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share