26/09/2019
Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jamaat Ahmadiyya Tanzania maarufu k**a Jalsa Salana Kufanyika panapo majaaliwa kuanzia hapo kesho Ijumaa 27 Sept hadi 29 Sept. Kitonga.
Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajiwa kuwa Mgeni wa heshima.
Karibuni nyote!