Rispa Miguma 365

Rispa Miguma 365 After this I beheld, and lo, a great multitude, which no man could number...
Revelation 7:9

1 Corinthians 9:7-14Who serves as a soldier at his own expense? Who plants a vineyard and does not eat its grapes? Who t...
13/10/2024

1 Corinthians 9:7-14
Who serves as a soldier at his own expense? Who plants a vineyard and does not eat its grapes? Who tends a flock and does not drink the milk? Do I say this merely on human authority? Doesn’t the Law say the same thing? For it is written in the Law of Moses: “Do not muzzle an ox while it is treading out the grain.” Is it about oxen that God is concerned? Surely he says this for us, doesn’t he? Yes, this was written for us, because whoever plows and threshes should be able to do so in the hope of sharing in the harvest. If we have sown spiritual seed among you, is it too much if we reap a material harvest from you? If others have this right of support from you, shouldn’t we have it all the more? But we did not use this right. On the contrary, we put up with anything rather than hinder the gospel of Christ. Don’t you know that those who serve in the temple get their food from the temple, and that those who serve at the altar share in what is offered on the altar? In the same way, the Lord has commanded that those who preach the gospel should receive their living from the gospel.

Blessings of the day!!!

Najua nimehurumiwa tu!!!
18/05/2024

Najua nimehurumiwa tu!!!

Tuliambiwa Kuna majitu huko yenye nguvu kuliko sisi,Tuliambiwa hiyo nchi inawala watu wake wanaoikaa,Tuliambiwa hatuwezi...
13/04/2024

Tuliambiwa Kuna majitu huko yenye nguvu kuliko sisi,
Tuliambiwa hiyo nchi inawala watu wake wanaoikaa,
Tuliambiwa hatuwezi kupanda kuiteka hiyo nchi Bwana aliyotuahidi.
Lakini tukamwamini Bwana, na Sasa tumesimama katikati ya hiyo nchi Bwana aliyotuahidi kutupa kuwa urithi wetu wenyewe.

Bwana amekuwa mwamimifu sana.

K**a nikikuacha wewe Bwana, Sina Tena Tumaini.
31/03/2024

K**a nikikuacha wewe Bwana, Sina Tena Tumaini.

Bwana ni mwenye Huruma na mwingi wa Nguvu!!!
27/03/2024

Bwana ni mwenye Huruma na mwingi wa Nguvu!!!

Kwa jinsi alivyo wa huruma, Ametuhurumia sana!!!
12/03/2024

Kwa jinsi alivyo wa huruma, Ametuhurumia sana!!!

Usivichukie vipindi vigumu vya maisha, vipindi hivyo hudhihirisha aina ya watu walioko maishani mwako.Mpaka mtu kuwa wa ...
04/01/2024

Usivichukie vipindi vigumu vya maisha, vipindi hivyo hudhihirisha aina ya watu walioko maishani mwako.

Mpaka mtu kuwa wa kutegemeka maishani mwako, anakuwa amepitishwa kwenye vipimo mbali mbali vinavyohusu maisha yako ikiwemo nyakati ngumu na anakuwa amethibitika kuwa mwaminifu.

Kuna watu wanaambatana na wewe kwa sababu uko kwenye kipindi Cha karamu (furaha). Kwamba mambo yote yanaenda sawa, hutawahitaji watatue shida yoyote katika kipindi hicho. Pale inapotokea huwezi kuwapa wanachotaka, karamu imeisha maishani mwako, hawawezi Tena kula na kunywa kutoka kwako, na wao ndio wanaishia hapo. Lakini sio wale waaminifu wanaokupenda k**a ulivyo.

Kuna watu wako na wewe kwa sababu katika kipindi chako Cha karamu (furaha), wanapata wanachohitaji. Kwa hiyo wanakuwa karibu na wewe Ili mambo yao yaende; uwasaidie kwa namna mbali mbali. Pale ambapo mambo yao hayawezi kwenda kwa kuendelea kuwa na wewe, hutawaona maishani mwako k**a ulivyokuwa unawaona ulipokuwa navyo.

Kuna watu wako na wewe kwa sababu kwa Sasa wewe ndio nyota ing'aayo, kukaa na wewe na wao wanaonekana na watu. Kuna watu ni "star hunters" Lakini siku ukiacha kung'aa wataondoka kwa sababu wanataka kuonekana. Na wewe huwezi kuwafanya waonekane kwa sababu hung'ai Tena. Watakuacha watawafuata watakaokuwa wanang'aa wakati huo. Au tayari wanakuwa wameshapata nafasi kutokana na kukaa na wewe karibu. Unapozimika au kufifia wanaachana na wewe waendelee kung'aa wakati ukiendelea kuzimika. Wengine hushiriki kukuzima Ili wao ndio wawe mianga ing'aayo k**a ulivyokuwa wewe.

Lakini wale walio wa kweli, wakati huu watahangaika kuhakikisha huzimiki. Wakishindwa kukusaidia inawaumiza sana.

#2024; You need a Confidant #

Kumbuka Vita Mungu alizokupigania ulipokuwa huna silaha. Walipokuja wamebeba kila aina ya silaha Mungu alivyozigeuza juu...
26/12/2023

Kumbuka Vita Mungu alizokupigania ulipokuwa huna silaha. Walipokuja wamebeba kila aina ya silaha Mungu alivyozigeuza juu Yao wenyewe akakuokoa.

Kumbuka Mungu alivyokuokoa dhidi ya adui wengi waliokuinukia. Ulipokuwa mchache, uliyehesabika na kupungua. Wakati ulipokuwa huna utisho kwa adui zako, na kila aliyejifunza kupigana alikuja kwako, aliyejifunza kuharibu alikuja kwako.

Wakati ambapo haukuhesabiwa miongoni wa wakuu Wala kukumbukwa kati ya watu. Kumbuka jinsi Mungu alivyotembea na wewe kila mahali.

Kumbuka alivyokuokoa na wanyama wakali wa nchi, kumbuka alivyokuokoa na hayawani na ndege wawindaji. Kumbuka alivyokuokoa na tauni, kumbuka alivyokuokoa na mishale.

Mkabidhi yeye vita zako zote, Wala usizitumainie akili zako.
.....2024......

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rispa Miguma 365 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share