Mhubiri Andrea Angovi

Mhubiri Andrea Angovi Mhuhiri

04/04/2026
YESU KRISTO in Hakika na DAMU yake ni silaha kuu ya kuangamiza vimiungo vyote.Mchague YeyeMtumaini YeyeMtegemee YeyeMuam...
10/03/2026

YESU KRISTO in Hakika na DAMU yake ni silaha kuu ya kuangamiza vimiungo vyote.
Mchague Yeye
Mtumaini Yeye
Mtegemee Yeye
Muamini Yeye

Nimaombi yangu kwako.

Biblia. Zaburi 121:1-2 [1]Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? (A Song of degrees.) I wil...
18/02/2026

Biblia. Zaburi 121:1-2
[1]Nitayainua macho yangu niitazame milima,
Msaada wangu utatoka wapi?
(A Song of degrees.) I will lift up mine eyes unto the hills, from whence cometh my help.
[2]Msaada wangu u katika BWANA,
Aliyezifanya mbingu na nchi.
My help cometh from the LORD, which made heaven and earth.CHOCHOTE UNACHOPITA HAPA DUNIANI CHA KUUMIZA USIACHE KUMTAZAMA MUNGU KATIKA KRISTO YESU YEYE NI YOTE KATIKA VYOTE,ATAKUTULIZA KWA ROHO MTAKATIFU WAKE NI MAOMBI YANGU KWAKO.

Isaya 32:17Na kazi ya haki itakuwa amani; na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu na matumaini daima. Isaya 32:18Na watu wa...
10/04/2025

Isaya 32:17
Na kazi ya haki itakuwa amani; na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu na matumaini daima.

Isaya 32:18
Na watu wangu watakaa katika kao la amani; na katika maskani zilizo salama, na katika mahali pa kupumzikia penye utulivu.

*MWAMBIE SHETANI NA WASHIRIKA WAKE WEWE NIWA YESU KRISTO HIVYO KUANGUKA WATAANGUKA HALELUYA HALELUYA AmenEsta 6:13 (KJV)...
17/10/2024

*MWAMBIE SHETANI NA WASHIRIKA WAKE WEWE NIWA YESU KRISTO HIVYO KUANGUKA WATAANGUKA HALELUYA HALELUYA Amen

Esta 6:13 (KJV) Basi Hamani akawasimulia Zereshi mkewe na rafiki zake wote kila neno lililompata. Kisha watu wake wenye hekima na Zereshi mkewe wakamwambia, Ikiwa huyu Mordekai, ambaye umeanza kuanguka mbele yake, ni wa uzao wa Wayahudi, wewe hutamweza, bali kuanguka utaanguka mbele yake.

https://alkitab.app/v/238bfc1c9115

Mathayo 4:17 (KJV)   Tokea wakati huo Yesu alianza kuhubiri, na kusema, Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
27/07/2024

Mathayo 4:17 (KJV) Tokea wakati huo Yesu alianza kuhubiri, na kusema, Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.

Ayubu 22:21 (KJV)   Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.
22/05/2024

Ayubu 22:21 (KJV) Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.

Waebrania 12:14 (KJV)   Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona B...
14/04/2024

Waebrania 12:14 (KJV) Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;

https://alkitab.app/v/978f4b872c2a

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255657528384

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mhubiri Andrea Angovi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mhubiri Andrea Angovi:

Share