Nabii Mr Kibali

Nabii Mr Kibali SENIOR PROPHET POWER OF MIRACLE CHURCH TANZANIA...

HUDUMA YA MAOMBI NA UNABII
+255767710344
_____________
TIKTOK- NABII MR KIBALI. YOUTUBE- NABII MR KIBALI
(5)

31/08/2026

MWEZI WA TISA UNAKUJA NA BARAKA YA MAJIBU YA MAOMBI YAKO

NATAKA KUTAMKA BARAKA KWA WATU 1000 ANDIKA TAMKA NABII..ZA MWEZI WA 9NITAMKE JUU YAKO UKAPOKEE MUUJIZA WAKO MWEZI    WA ...
31/08/2026

NATAKA KUTAMKA BARAKA KWA WATU 1000 ANDIKA TAMKA NABII..
ZA MWEZI WA 9

NITAMKE JUU YAKO UKAPOKEE MUUJIZA WAKO MWEZI WA 9 .✅

NACHO TAMKA KINATOKEA

MWEZI WA 91. WALIO CHINI WATAINULIWA NA WALIO JUU WATASHUSHWA.2. K**A TUSIPO OMBA HUU NI MWEZI WA MAAFA NA MABALAAA KWEN...
31/08/2026

MWEZI WA 9

1. WALIO CHINI WATAINULIWA NA WALIO JUU WATASHUSHWA.

2. K**A TUSIPO OMBA HUU NI MWEZI WA MAAFA NA MABALAAA KWENYE TAIFA NA DUNIA YOTEE.
MAANA ANUSO YUPO KWENYE MSTARI NA ASUDO..

3. KUNA TEAM ITAINGIA KWENYE MIGOGORO NDANI YA UONGOZI BAADA YA HIYO TIMU KUFUNGWA NA TEAM NDOGO KWENYE MSIMAMO WA LIGI NA KUFUNGWA KWAO NDIYO KUTAWAPOKONYA POINT YA KUBEBA UBINGWA MWAKA HUU.

MAANA UBINGWA WA MWAKA HUU USHINDANI WAO NI POINT 1 TU.

HAYA NI MAPITO KWAO WAKITULIZA AKILI WATABEBA UBINGWA ILA K**A WATARUHUSU MVUTANO UBINGWA UMEPITA KUSHOTO KWAO KWA UPUUZI WA MIGOGORO NA MAFARAKANO.

ANDIKA KWA IMANI.
NITAVUKA.

HAKIKISHA UMETEKA LANGO LA MWEZI WA 9 KWA SADAKA YAKO. SHALOM.

NAMBA — 0767710344

31/08/2026

Hakikisha umeteka lango la mwezi wa 9 kwa sadaka yako. Shalom.... NAMBA-- 0767710344.

Mwezi wa 9 tutarajie maafa, k**a waombaji hamtaomba vyema basi mwezi wa 9 utakuwa mbaya sana kwa watu wengi...Kuna  Alam...
31/08/2026

Mwezi wa 9 tutarajie maafa, k**a waombaji hamtaomba vyema basi mwezi wa 9 utakuwa mbaya sana kwa watu wengi...
Kuna Alama Anuso Na Asudo.
_____
ANDIKA KWA IMANI.
YESU TUVUSHE

MIFUKO YAKO HAITAKOSA WALA KUPUNGUKIWA FEDHA TANGU LEO KWA JINA LA YESU.🔥
31/08/2026

MIFUKO YAKO HAITAKOSA WALA KUPUNGUKIWA FEDHA TANGU LEO KWA JINA LA YESU.🔥

Umefanya yote uliyoweza. Umeomba, umesubiri, umejaribu, na umebeba jambo hili kwa muda mrefu vya kutosha.Sasa jipe ruhus...
31/08/2026

Umefanya yote uliyoweza. Umeomba, umesubiri, umejaribu, na umebeba jambo hili kwa muda mrefu vya kutosha.

Sasa jipe ruhusa ya kuacha kubeba kile ambacho hakiko chini ya uwezo wako wa kukidhibiti. Weka yote mikononi mwa Mungu, na umruhusu Yeye ashughulikie yale ambayo wewe huwezi.

Huhitaji kuendelea kupigania matokeo ambayo Mungu anaweza kuyashughulikia. Pumzika, mtumaini Yeye, na umruhusu ashughulikie yaliyobaki. 🙏❤️

NIMETOA NENO LA KINABIII MAPEMA!!.. _______Hakikisha umeteka lango la mwezi wa 9 kwa sadaka yako. Shalom.... NAMBA-- 076...
31/08/2026

NIMETOA NENO LA KINABIII MAPEMA!!..
_______
Hakikisha umeteka lango la mwezi wa 9 kwa sadaka yako. Shalom.... NAMBA-- 0767710344.

Mwezi wa 9 tutarajie maafa, k**a waombaji hamtaomba vyema basi mwezi wa 9 utakuwa mbaya sana kwa watu wengi...

31/08/2026

Nasikia sauti inaniambia
UTAPATA FEDHA ULIPE MADENI YAKO YOTE LEO

31/08/2026

Tajiri mkubwa sana atakutafuta akuinue Leo

Address

Nabii Mr Kibali
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nabii Mr Kibali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share