Dada Wadogo wa Mt. Fransisko wa Asizi

Dada Wadogo wa Mt. Fransisko wa Asizi Shirika la Dada Wadogo wa Mt. Fransisko wa Asizi

Shirika la Masista wa Mt. Francisko wa Asiz, Dada Wadogo DSM tunampongeza Mhashamu Vincent Mpwaji kwa Kuwekwa Wakfu kuwa...
07/09/2026

Shirika la Masista wa Mt. Francisko wa Asiz, Dada Wadogo DSM tunampongeza Mhashamu Vincent Mpwaji kwa Kuwekwa Wakfu kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam 05, September. 2026

24/08/2026

NEW VERSION! MAISHA YA MT. FRANSISKO EPO1 | Anaziacha Hanasa na Kumtumikia Mungu

Shirika la Dada Wadogo wa Mtakatifu Fransisko wa Asiz, Jimbo Kuu la Dar es Salaam wameandaa masimulizi haya katika mfumo mwingine wa Animation ili kuelezea Maisha ya Mt. Fransiko wa Asizi katika mwaka huu maalum wa Jubilei ya Miaka 800 ya Wosia na Kifo cha Mt. Fransisko wa Asizi

SHUKRANI ZA DHATI:
Msimuliaji: Daniel Ling'wentu
Fransisko: Chilla
Yesu: David Mwakitalu
Studio: Tornado Vibez Studios Ltd 🇹🇿
Animator: T3pro🇹🇿

19/08/2026

SEHEMU YA KWANZA SIMULIZI WOSIA WA MTAKATIFU FRANSISKO WA ASIZI

Tuungane na Kanisa zima la Ulimwengu na Tanzania Kumpongeza Pd. Vicent Mpwaji kwa kuteuliwa kuwa Askofu Msaidizi wa Jimb...
11/07/2026

Tuungane na Kanisa zima la Ulimwengu na Tanzania Kumpongeza Pd. Vicent Mpwaji kwa kuteuliwa kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Dar es Salaam.

02/06/2026

🎥‼️
Igizo fupi la Wosia wa Mt. Fransisko yaani TRANSITUS, Kupitia Channel ya YouTube ya Dada Wadogo Media katika

Imeandaliwa na: Shirika la Dada Wadogo wa Mtakatifu Fransisko wa Asiz, Jimbo Kuu la Dar es Salaam wameandaa Igizo hili fupi katika kuenzi mwaka huu maalum wa Jubilei ya Miaka 800 ya Wosia na Kifo cha Mt. Fransisko wa Asizi (TRANSITUS)

SHUKRANI ZA DHATI:
Msimuliaji: David Mwakitalu
Fransisko: Daniel Ling'wentu
Muongozaji (Director): Augustino Chang'a
Audio & Video Production: Tornado Vibez
Transitus SaintFrancisco

01/06/2026

Hili ni Igizo fupi la Wosia wa Mt. Fransisko yaani TRANSITUS.
Usikose! Kesho Jumanne 02/06/2026 Saa 9:00 Alasiri Kupitia Channel ya YouTube ya Dada Wadogo Media.

Shirika la Dada Wadogo wa Mtakatifu Fransisko wa Asiz, Jimbo Kuu la Dar es Salaam wameandaa Igizo hili fupi katika kuenzi mwaka huu maalum wa Jubilei ya Miaka 800 ya Wosia na Kifo cha Mt. Fransisko wa Asizi (TRANSITUS)

SHUKRANI ZA DHATI:
Msimuliaji: David Mwakitalu
Fransisko: Daniel Ling'wentu
Muongozaji (Director): Augustino Chang'a
Audio & Video Production: Tornado Vibez

01/06/2026

MAISHA YA MT. FRANSISKO WA ASIZI EP11 | Kifo cha Mt. Fransisko, Wimbo wa Ndugu Jua Waimbwa.
Mwisho wa Masimulizi ya Historia ya Maisha ya Mt. Fransisko wa Asizi EPISODE 11 katika mwaka huu maalum wa Jubilei ya Miaka 800 ya Wosia na Kifo cha Mt. Fransisko wa Asizi (TRANSITUS).

30/05/2026

MAISHA YA MT. FRANSISKO WA ASIZI EP10 | Matumaini ya Kupona yanapotea, Kuishi au Kufa kwangu ni sawa
Muendelezo wa Masimulizi ya Historia ya Maisha ya Mt. Fransisko wa Asizi EPISODE 10 katika mwaka huu maalum wa Jubilei ya Miaka 800 ya Wosia na Kifo cha Mt. Fransisko wa Asizi (TRANSITUS).

28/05/2026

MAISHA YA MT. FRANSISKO WA ASIZI EP09 | yu tayari kumpokea Dada Mauti, atunga Wimbo kusifia Viumbe.
Muendelezo wa Masimulizi ya Historia ya Maisha ya Mt. Fransisko wa Asizi EPISODE 09 katika mwaka huu maalum wa Jubilei ya Miaka 800 ya Wosia na Kifo cha Mt. Fransisko wa Asizi (TRANSITUS).

26/05/2026

MAISHA YA MT. FRANSISKO WA ASIZI EP08 | Fransisko apata Madonda Matano ya Yesu bila kujali Maumivu.
Muendelezo wa Masimulizi ya Historia ya Maisha ya Mt. Fransisko wa Asizi EPISODE 08 katika mwaka huu maalum wa Jubilei ya Miaka 800 ya Wosia na Kifo cha Mt. Fransisko wa Asizi (TRANSITUS).

Address

Mbagala Spiritual Centre
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 16:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dada Wadogo wa Mt. Fransisko wa Asizi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Dada Wadogo wa Mt. Fransisko wa Asizi:

Shortcuts

Share