Salamu Maria!

Salamu Maria! Mama Maria Salamu Maria, umejaa neema;
Bwana yu nawe;
umebarikiwa kuliko wanawake wote,
na Yesu, mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Amina.

Maria mtakatifu, Mama wa Mungu,
utuombee sisi wakosefu,
sasa na saa ya kufa kwetu.

03/04/2023

JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM

Ratiba Za Maaskofu Juma Kuu

1. Dominika ya Matawi
-Askofu Mkuu: Kijichi
-Kardinali: Mwenge
-Askofu Mchamungu: Upanga
-Askofu Musomba: Matosa

2. Alhamisi Kuu
-Askofu Mkuu: Tabata
-Kardinali: Mikoroshoni
-Askofu Mchamungu: Bahari Beach
-Askofu Musomba: Oysterbay

3. Ijumaa Kuu
-Askofu Mkuu: Mikocheni
-Kardinali: Kijichi
-Askofu Mchamungu: Ubungo Msewe
-Askofu Musomba: St Joseph

4. Vijilia ya Pasaka
-Askofu Mkuu: St. Joseph
-Kardinali: Chang'ombe
-Askofu Mchamungu: BMMH Mbezi Beach
-Askofu Musomba: Kijitonyama

5. Dominika ya Pasaka
-Askofu Mkuu: Mbagala Zakhem
-Kardinali: Magomeni
-Askofu Mchamungu: St Joseph
-Askofu Musomba: Nsasa

Sali rozali kila siku
03/04/2023

Sali rozali kila siku

Uwe Mwaka wa Baraka kwa Maombezi ya Mama Bikira Maria
01/01/2020

Uwe Mwaka wa Baraka kwa Maombezi ya Mama Bikira Maria

Tuusifu na kuupongeza ubunifu huu
27/11/2019

Tuusifu na kuupongeza ubunifu huu

Tokeo la Mama Maria
11/11/2019

Tokeo la Mama Maria

Wapenzi wa Mama na Rozali Takatifu; tumebakiza watu 500 tu kufika 10,000 katika kundi hili. Kila mmoja akikaribisha mwen...
21/10/2019

Wapenzi wa Mama na Rozali Takatifu; tumebakiza watu 500 tu kufika 10,000 katika kundi hili. Kila mmoja akikaribisha mwenzake tutampa zawadi nzuri mama yetu kwa kuongeza rafiki zake. Mbarikiwe sana

Supporters of Mama and the Holy Rosary; we are 500 short of reaching 10,000 members of this page. Let each of you just i...
21/10/2019

Supporters of Mama and the Holy Rosary; we are 500 short of reaching 10,000 members of this page. Let each of you just invite a friend so we surprise Mama before the month of rosary ends. Be blessed

Tujiandae. Mwezi wa Rozali unaanza kesho.
30/09/2019

Tujiandae. Mwezi wa Rozali unaanza kesho.

NAKUPENDA MARIA (P. Mwarabu)/Nakupenda Maria, Mama uliye bora, furaha yangu Maria, nikae nawe daima, nipate neema zako, ...
10/09/2019

NAKUPENDA MARIA (P. Mwarabu)
/Nakupenda Maria, Mama uliye bora, furaha yangu Maria, nikae nawe daima, nipate neema zako, nifike juu mbinguni x2/

1.Mama mwema Maria, unikinge unilinde, nifanye yote mema, nayo mabaya niyashinde.

2. Uliyebarikiwa, Maria mpendelevu, unijaze baraka, ili niwe mnyenyekevu.

3. Uyatulize Mama, mashaka ya moyo wangu, neema za Mwana wako, nifariji roho yangu.

31/03/2019

Kwaresma njema watoto wa Mungu

Address

Dar Es Salaam
P.O.BOX72165

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salamu Maria! posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Salamu Maria!:

Share