BAWOJ Ministries

BAWOJ Ministries This is he that came by water and blood, even Jesus Christ; not by water only, but by water and blood

HATUKOSEI KUKOSA
17/03/2026

HATUKOSEI KUKOSA

Asante Yesu kwa kicheko
11/12/2025

Asante Yesu kwa kicheko

Me and Her, forever in christ
11/12/2025

Me and Her, forever in christ

Happy Birthday  tunakutakia baraka tele na mafanikio katika siku yako ya kuzaliwa, Mungu akubariki
26/11/2025

Happy Birthday tunakutakia baraka tele na mafanikio katika siku yako ya kuzaliwa, Mungu akubariki

  wa   anawakaribisha  Ubungo Landmark Hotel, jumapili hii kuanzia saa 7 mchana, maombi na maombezi yatakuwep
19/11/2025

wa anawakaribisha Ubungo Landmark Hotel, jumapili hii kuanzia saa 7 mchana, maombi na maombezi yatakuwep

MCHUNGAJI   wa kanisa la   anakukaribisha Jumapili hii katika ibada ya jumapili kwa watu wote kuanzia saa 6 Mchana hadi ...
16/10/2025

MCHUNGAJI wa kanisa la anakukaribisha Jumapili hii katika ibada ya jumapili kwa watu wote kuanzia saa 6 Mchana hadi saa 12 jioni pale Maombi na maombezi yatakuwepo kwa watu wote

Tukutane Jumapili hii ya tarehe 5/10/1025 Pale Landmark Hotel iliyoko maeneo ya UBUNGO RIVERSIDE,  Kwenye Ibada ya Jumap...
01/10/2025

Tukutane Jumapili hii ya tarehe 5/10/1025 Pale Landmark Hotel iliyoko maeneo ya UBUNGO RIVERSIDE, Kwenye Ibada ya Jumapili atakuwepo kukuhudumia

K**A WEWE NI BINTI NA UMEFIKA KATIKA UMRI WAKUOLEWA NAKUKATIBISHA KATIKA IBADA HII ITAKAYOFANYIKA UBUNGO LANDMARK HOTEL ...
17/09/2025

K**A WEWE NI BINTI NA UMEFIKA KATIKA UMRI WAKUOLEWA NAKUKATIBISHA KATIKA IBADA HII ITAKAYOFANYIKA UBUNGO LANDMARK HOTEL JUMAOSI YA TAREHE 20, SAA 6 HADI SAA 12 JION

JE UMEKUA MPWEKE, JE UMETENGWA NA ULIO WAAMINI SANA.?       Huwa inaumiza sana pale unapopita katika mazingira magumu na...
13/07/2025

JE UMEKUA MPWEKE, JE UMETENGWA NA ULIO WAAMINI SANA.?

Huwa inaumiza sana pale unapopita katika mazingira magumu na unapohitaji msaada unakuja kugundua hakuna mtu upande wako angalau wa kukupa bega wakati
Wakulia kwako, ingawa hapo awali unakuta ulikuwa na watu wengi sana ambao walikua pamoja nawe wakati neema imekutembelea!! Unakuta kipindi hicho kila alikua anakuambi yuko pamoja na wewe, lakini baada ya magumu kukufika wote wametawanyika, maumivu yako sio yao tena ingawa raha zako walitaka ziwe zao.
USIOGOPE mwanangu, waliokuacha acha waondoke
“WAKATI MWINGINE MUNGU HUKUONDOLEA MARAFIKI ILI UMTEGEMEE YEYE PEKEE, WAKATI MWINGINE UWEZO WA KUKABILIANA NA HALI YA KUTENGWA KWAKO UTAKUFUNDISHA KUUJUA MWELEKEO WAKO”

Sikia Mungu alipotaka kumbariki Ibrahimu alimtenganisha na watu wake wote waliomfanya awe kwenye comfort zone

MWANZO 12:1-2
BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;
nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;
Wakati mwingine ili uweze kufanikiwa katika maisha lazima baadhi ya watu waondoke katika maisha yako, so usiwalalamikie wanaokuacha.

Pastor Sitta Majani
+255 692 950 285

Usikose hii neema, yangazo linajieleza
12/07/2025

Usikose hii neema, yangazo linajieleza

25/06/2025
Kanisa  kupitia mchungaji kiongozi  wanakukaribisha katika ibada ya NATOKA NA FAMILIA YANGU, mkaribishe na mwenzako Kivu...
14/05/2025

Kanisa kupitia mchungaji kiongozi wanakukaribisha katika ibada ya NATOKA NA FAMILIA YANGU, mkaribishe na mwenzako Kivule Dar es Salaam.

❤️ ❤️

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BAWOJ Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to BAWOJ Ministries:

Share