Hema la msalaba ministries

Hema la msalaba ministries HEMA LA MSALABA MINISTRIES

YESU maeshabeba hatia zote ,hutakiwa kuwa na hofu juu ya:KifoDhambiJehanamu        Hayo yote msalaba wa kristo umemaliza...
29/03/2024

YESU maeshabeba hatia zote ,hutakiwa kuwa na hofu juu ya:
Kifo
Dhambi
Jehanamu
Hayo yote msalaba wa kristo umemaliza

MFAHAMU "ELIA" NABII WA MUNGU ANAEGOPWA ZAIDI ISRAEL HADI LEO, HAKUFANabii maarufu zaidi kwenye maandiko ni Musa, ila Mu...
27/02/2024

MFAHAMU "ELIA" NABII WA MUNGU ANAEGOPWA ZAIDI ISRAEL HADI LEO, HAKUFA

Nabii maarufu zaidi kwenye maandiko ni Musa, ila Musa alikua mpole sana. Waisraeli wanamkumbuka na kumuenzi ila hawamuogopi sababu hakuwahi kuwatesa wala kuwasumbua.

Huyu nabii Elia alikuwa kiboko yao. Ndio maana Yesu alipokuwa msalabani wakati anakaribia kukata roho aliposema ‘Eloi Eloi’ waliokuwepo eneo la tukio walisema huyo anamwita Elia.
~Mathayo 27:46-47 SUV

Na walijua endapo k**a ni Elia anaitwa angekuja pangechimbika na wangeipata.

Sasa kwanini Elia Alikua anaogopeka kiasi hicho?
Twende pamoja

Mwamba aliwahi kuwaua manabii 850 wa Baali waliokuwa chini ya Malkia Yezebeli.

Baada ya Israeli kumuacha Mungu Elia aliamuru Mvua isinyeshe. Na mvua haikunyesha kweli, kukawa na ukame nchi nzima, baada ya miaka 3½ aliwakusanya

Mfalme na hao manabii Akawaambia watu wafanye shindano kati yake na hao manabii wa Baali. Na atakayeweza kumuomba Mungu wake na huyo Mungu akajibu kwa kushusha moto basi ndio Mungu wa kweli na ndiye anapaswa kuabudiwa.

Shindano lilipofanyika mungu Baali alishindwa
kushusha moto kwa manabii wake, lakini Elia alishinda kwani alipomuomba Mungu wake, Mungu alishusha moto.
(Wimbo wa Christopher Mwahangila - Mungu ni Mungu tu)

~Ndipo alipowak**ata hao manabii wote akawaua alafu akakimbia

Aliwahi kuua askari 102 wa Mfalme kwa moto wa Mungu kisa tu walimkosea Adabu.

Mfalme Ahazia alianguka Ghorofani akaumwa karibu kufa, akatuma watu waende kwa kuuliza k**a atapona au atakufa.

Elia akawablock barabarani akawaambia kamwambieni Mfalme kwa kuwa hamuamini Mungu atakufa.

Mfalme alipopewa taarifa alijua ni
Elia ndio kafanya hivyo, kwaiyo akatuma Askari 50 na kiongozi wao 1 wakamchukue Elia.

Wakamkuta yupo kwenye kilima, Askari akamwambia Elia ‘Wewe mtu wa Mungu shuka haraka Mfalme anakuita’

Elia akasema k**a kweli mimi ni mtumishi wa Mungu moto ushuke kutoka mbinguni
Uwateketeze

Kweli moto ukashuka ukawateketeza wote.

Mfalme alipokaa mda akaona kimya akatuma wengine, walipofika jamaa akawapiga moto tena.

Mfalme akatuma wengine mara ya 3. Huyo wa 3 akaenda akapiga magoti akamuomba Elia kwa upole, Elia akaenda akaonana na Mfalme..
akamwambia hutaishi bali utakufa, na Mfalme akafa kweli

Wataalamu wa maandiko wanadai Mwamba alikua na sugu kwenye magoti sababu ya kuomba kila wakati.

Alizuia mvua miaka 3½ nchi nzima ikaomba lakini Mungu alisikia maombi ya Elia na hakuruhusu mvua, sasa jiulize jamaa alikua Anaomba kiasi gani hadi Mungu akamuheshimu asishushe mvua.

Yeye ndio muanzilishi wa pasi ndefu.

Alitumiwa chakula direct kutoka mbinguni akala akatembea siku 40 bila kula wala kuishiwa nguvu.

Ndiye mtu mmoja kati ya wawili pekee ambao hawakuonja mauti, Mungu alimchukua Kwa Gari la farasi wa moto hadi mbinguni.

Kutokana na nguvu zake hadi mwanafunzi wake (Elisha) aliomba Roho ya Elia imjae baada ya Elia kuondoka, ikawa hivyo kweli na Elisha naye akawa nabii.

Ni mmoja kati ya watu wawili ambaye hawajulikani Historia yao au Ndugu zao. Biblia haijataja historia yake wala ndugu zake, alitokea tu akapiga kazi, baada ya kumaliza kazi akasepa zake mbinguni.

Habari hizi zinapatikana;
1 Wafalme 17-19 na 2 wafalme 1-2

Unaachaje kushea post muhimu namna hii aisee?MFAHAMU "ELIA" NABII WA MUNGU ANAEGOPWA ZAIDI ISRAEL HADI LEO, HAKUFA

Unaachaje kushea post muhimu namna hii aisee?
Follow page

30/08/2023

Hakuna ndoto isiyoweza kutumia k**a imani ukibaki nayo na hatua zake.

Amwaminiye YESU hahukumiwi bali asiye Mwamini naye ameshahukumiwa
30/08/2023

Amwaminiye YESU hahukumiwi bali asiye Mwamini naye ameshahukumiwa

Hemani mwa Bwana,shule ya utumishi kila week .    #+225765656473
03/08/2023

Hemani mwa Bwana,shule ya utumishi kila week .

#+225765656473

Mungu UNAYE MWABUDU na kutoa sadaka kwake unamfahamu?
22/07/2023

Mungu UNAYE MWABUDU na kutoa sadaka kwake unamfahamu?

Tutavuka kila upinzani
20/07/2023

Tutavuka kila upinzani

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hema la msalaba ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share