07/10/2022
GOSAI NI NINIβ
GOSAI NI NINIβ
GOSAI NI NINIβ
( Gospel Singers Altar International )
==========================
KUNA MKANGANYIKO MWINGI BAINA YA WAIMBAJI WA INJILI NA WATUMISHI WA MUNGU WANOVYOITAFISRI GOSAI.
===========================
LEO NA KUENDELEA.......
Nitakuwa nikifafanua juu ya Maana ya GOSAI na Utendaji wake.
Aπ ( 1 ).GOSAI sio dhehebu.
π ( 2 ).GOSAI sio Dini fulani.
Gosai ni mkusanyiko wa waimbaji na watumishi wa Mungu waliozaliwa mara ya pili wenye maono ya kumutumikia Mungu kwa pamoja wakihubiri injili kwa pamoja. isiyogoshiwa.
B.TUNAVYOFANYA HUDUMA.
π ( 1 ).Gosai hailipi mtu pesa kila anayejiunga na Gosai lazima atumie pesa yake bila manunguniko wala tegemezi kwa Mwingine.
π ( 2 ).Tunapokuwa na makongono ya Gosai hatutalajii kulipwa au kulishwa chakula na mwenyeji wetu anayetuanzima madhabahu,jengo lake la ibada.
ππIkitokea mwenyeji wetu ametukalimu ni hiari yake sio lazima.
ππ½Siku za usoni tutakuwa tunakodi kumbi za mikutano badara ya kutumia majengo ya ibada,na hapo tutakuwa tukikigharamia mahitaji yote,
eg,Chakula,malazi,nauri nk..
C.FAIDA YA GOSAI.
( 1 ).Kutimiza maombi ya Yesu
- Yohana mt.17:17---26
( 2 ) Kujenga mwili wa Kristo.
( 3 ).GOSAI ni daraja la kupitia kukamilisha maono ya kila mtu anayehitaji kuvusha injili nje ya Nchi yake.
Β©οΈ Gosai Christians Connection.2022.