26/03/2024
NJIA RAHISI YA KUFANYA YALIYO SHINDIKANA YAWEZEKANE💪
HAKUNA NAMNA KUKU ANAWEZA KUBADILISHA MAYAI YAKE KUWA VIFARANGA ISIPOKUWA KWA KUATAMIA TU.🐔🐣🐥
Ndiyo maana wakati wakuatamia kuku hujinyima, hata kula na ana jitenga na mambo yote mazuri, 🦃
Anakubali kupoteza kila kitu chenye faida kwake ili tu atimize siku za kuatamia kwake apate vifaranga.
Lakini kuku asie tulia kwenye kuatamia mayai yake, yana yanageuka na kuwa mayai viza na hapati watoto zaidi hupata hasara ya mayai na siku za kuatamia kwake.😪
HAKUNA NAMNA UNAWEZA KUBADILISHA MAISHA YAKO ISIPOKUWA KWA MAOMBI TU🙏💯
Watu wengi kwa kushindwa kutulia na kumsikiliza Mungu anasema nini kuhusu maisha yao binafsi
Nakushindwa kuomba mpaka waone majibu ya maombi yao.
Wamefanya maisha yao kuharibika na kuwa k**a vile mayai viza, wame kuwa k**a kuku asie atamia mayai anavyoweza kufanya mayai yake yageuke kuwa mayai viza, na maisha ya wengi yamekuwa viza.
Hakuna namna unaweza kubadislisha laana kuwa baraka isipokuwa kwa maombi tu🙏
Hakuna namna unaweza kubadilisha mateso kwenye ndoa yako isipokuwa kwa maombi tu🙏
Hakuna namna unaweza kubadilisha umasikini kuwa utajiri isipokuwa kwa bidii ya kazi na maombi tu🙏
Hakuna namna unaweza kubadislisha mumeo asikusariti, isipokuwa kwa kuomba tu, 🙏
Maana k**a ni uzuri wengi ni wazuri na hawana waume📌
Hakuna namna unaweza kubadisha mkeo asikuache isipokuwa kwa kuomba tu. 🙏
Maana k**a nipesa kuna walio achwa na pesa zao📌
Hakuna namna unaweza kubadilisha elimu yako iwe ajira, isipokuwa kwa kuomba tu. 🙏
Maana kuna waliosoma wengi na wako nyumbani tu
Hkuna namna unaweza kubadisha dharau yako iwe heshima isipokuwa kwa kuomba tu🙏
Hakuna namna unaweza kubadisha ugonjwa wako uwe uzima, isipokuwa kwa kuomba tu🙏
Maana kuna wengi wa walikuwa na madaktari bingwa na hospital za kimataifa na bado walipoteza maisha.
Hakuna namna unaweza kubadislisha kukopa kwako kuwe kukopesha isipokuwa kwa maombi tu.🙏
Hakuna namna unaweza kubadilisha kutoka mahusiano ya uchumba na kuwa ndoa isipokuwa kwa maombi tu🙏
Hakuna namna unaweza kubadilisha kutoka kuwa mfanyakazi wa kawaida na kuwa boss isipokuwa kwa kuomba tu🙏
Hakuna namna unaweza kubadislisha kukataliwa nakuwa na kibali cha kukubalika isipokuwa kwa kuomba tu🙏
Hakuna namna unaweza kubadislisha walio kusahau wakukumbuke isipokuwa kwa maombi tu 🙏
Hakuna namna unaweza kubadilisha jambo lolote isipokuwa kwa kuomba tu 🙏
NENO LA MUNGU LINASEMA TUOMBE BILA KUKOKOMA 1 WATHESALONIKE 5: 16🙏
Maombi na ushauri Whatsapp 0716 822126 💥
✍By Mtumishi Fahim 0716 822126 💥