EAGT Mbande Kisewe

EAGT Mbande Kisewe ,πŸ™Œ Karibu EAGT Mbande Kisewe! wasiliana nasi kwa namba ambazo unaziona kwe ukurasa wetu.

Tunahubiri Injili kamili ya Yesu Kristo β€” wokovu, uponyaji, na nguvu za Roho Mtakatifu
πŸ“ Mahali: Kisewe, Mbande – Dar es Salaam
πŸ•› Jumapili saa 3:30 asubuhi
πŸŽ₯ Fuata ukurasa huu kwa mafundisho nyimbo, na maombi ya kila siku β€œNjoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.”
β€” Mathayo 11:28

K**a una mzigo wa dhambi njoo kwa Yesu akutuwe, k**a una mzigo wa mag

onjwa njoo kwa Yesu akutuwe, k**a unamachungu na misuko suko ya maisha au pengine huna kazi au huna kipato Mungu anakuhitaji akusaidie.. karibu kwenye ibada zetu za juma pili kuanzia saa 3 asubuhi, Mungu atasema na wewe kwa habari ya Maisha yako nakila kilicho kikwazo kwako.

19/08/2026

NURU YA KRISTO EV: OSCAR MWAIPOPO.

Matukio katika picha ibada ya wk hii
17/08/2026

Matukio katika picha ibada ya wk hii

11/08/2026

KUSIFU KUNAWAPASA WANYOFU WA MOYO,-PASTOR

05/08/2026

Kupigwa kwa maadui zako-PST

27/07/2026

Wema ni akiba, PST Benadeta Matiko & PST Annastazia Ambele Mwakajugwa

27/07/2026

Ibada ya sifa. 26/7/2026 Sehemu 43

27/07/2026

Ibada ya sifa. 26/7/2026 Sehemu 42

27/07/2026

Ibada ya sifa. 26/7/2026 Sehemu 41

27/07/2026

Ibada ya sifa. 26/7/2026 Sehemu 40

27/07/2026

Ibada ya sifa. 26/7/2026 Sehemu 39

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT Mbande Kisewe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to EAGT Mbande Kisewe:

Shortcuts

Share