CYM FPCT-Airport

CYM FPCT-Airport karibu sana.

C.Y.M Means Children and Youth Ministry ( huduma ya watoto na vijana) ni idara ya watoto na vijana kanisa la FPCT AIRPORT Bonde la Baraka kwa mchungaji Geofrey Moris.

23/01/2021

Tunaendelea kuweka mambo sawa soon tutarejea stay tuned 2021 mwaka wa kuongezeka

20/06/2020

Stay tuned mambo mazuri yanakuja soon baada ya kuwa tumetoka kwenye janga la COVID 19 sasa tunakuja na nguvu mpya as CYM airport Dsm

31/05/2020

Bwana asifiwe sana wapendwa...! Mwezi wa sita tunatarajia kuwa na wiki ya vijana kanisa la F.P.C.T mission ya Airport Dar tunatarajia kuwa na wiki yenye baraka nyingi kwa vijana na watu wote kwa ujumla watu wote mnakaribishwa ni kuanzia tar 15 - 21/6/2020.

11/04/2020

Mungu kwetu ni kimbilio na nguvu msaada utakaoonekana wakati wa mateso.

06/03/2020

Nawakumbusha wapendwa kuwa ni leo tar 06/03/2020 mkesha mkubwa kabisa wa vijana airport FPCT.

26/02/2020

Nawakumbusha tu kuwa ule mkesha wetu wa vijana umekaribia ni tar 06/03/2020
Anza mwaka na Bwana ....jitahidi usikose

16/02/2020

Ibada ya asubuhi jinsi ilivyokuwa,

PRAISE AND WORSHIP team FPCT AIRPORT  DAR tutakuwa na ibada ya kusifu na kuabudu jumapili ya tar 16/02/2020 wote tunawak...
12/02/2020

PRAISE AND WORSHIP team FPCT AIRPORT DAR tutakuwa na ibada ya kusifu na kuabudu jumapili ya tar 16/02/2020 wote tunawakaribisha katika ibada hii itakayoanza saa 9 alasiri.

09/02/2020

I hope Jumapili ya leo ilikuwa ni njema sana hata kwetu pia ilikuwa nzuri ubarikiwe sana.

Address

Airport Dsm (karakata)
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CYM FPCT-Airport posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to CYM FPCT-Airport:

Share