Total Transformation Ministry

Total Transformation Ministry Connecting people, Impacting lives, Spreading the gospel that transforms the minds, Creating a total transformed generation.

Ufanisi katika utumishi si jambo la bahati mbaya ni matokeo ya Maandalizi. Katika eneo la Maandalizi hauwezi kamwe kuepu...
14/06/2024

Ufanisi katika utumishi si jambo la bahati mbaya ni matokeo ya Maandalizi. Katika eneo la Maandalizi hauwezi kamwe kuepuka mafundisho. Hatuna mashaka na ukweli ama uhalisia wa wito wako lakini moja kati ya mambo yatakayosema kiwango chako cha unyenyekevu ni utayari wa kujifunza kwa wengine. Wito si mbadala wa kujifunza.

Tukutane kwenye DARASA LA UTUMISHI kesho. Fuata taratibu za kwenye tangazo na usikose.

Unaweza kupata full audio za masomo yote ninayofundisha hapa kanisani na mahali popote pale kwa njia ya sauti (audio). J...
15/03/2024

Unaweza kupata full audio za masomo yote ninayofundisha hapa kanisani na mahali popote pale kwa njia ya sauti (audio). Jiunge na channel yetu ya telegram kwa ku click hii link👇

Karibu kwenye mwezi wa March. Katika mwezi huu k**a kanisa tunao mkazo wa tofauti kwa ajili ya wanawake. Kimsingi tunaut...
01/03/2024

Karibu kwenye mwezi wa March. Katika mwezi huu k**a kanisa tunao mkazo wa tofauti kwa ajili ya wanawake. Kimsingi tunautoa mwezi mzima kuwasherehekea wanawake na mchango wao kifamilia, kikanisa na hata kitaifa.

This March we are CELEBRATING HER

Karibu sana ibadani siku ya kesho tuendelee kujifunza kuhusu Mpango wa Mungu kwa Familia.Ibada inaanza saa 2:00 asubuhi ...
10/02/2024

Karibu sana ibadani siku ya kesho tuendelee kujifunza kuhusu Mpango wa Mungu kwa Familia.

Ibada inaanza saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi, na kanisa liko hapa Kimara Mwisho Matangini karibu na ukumbi wa Noble na ofisi za mikopo za Asa.

Tuwasiliane mwa namba hizi +255657670972; +255762711131

26/09/2022

HAWA NDIO WATU WANAOTUMIWA NA SHETANI. UKIJISIKIA MIONGONI MWAO, JIREKEBISHE😡

24/09/2022

HUWA UNAFANYA NINI DHORUBA IPIGAPO?

Bwana amekuwa akitufundisha hekima ya kuyaitikia majaribu na nyakati ngumu.

Tunaendelea na series hii siku ya kesho hapa ministry Sinza Mapambano.

Ibada inaanza saa 9:00 alasiri hadi saa 11:30 jioni.

Tafadhali, karibu sana

21/09/2022

HII NDIO DHAMBI IKUZONGAYO KWA UPESI. SIKILIZA

Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu (Waebrania 12:1)

20/09/2022

HAUWEZI UKAKIMBIA NA MZIGO. TUA MZIGO, HALAFU KIMBIA

19/09/2022
And the Lord said, Let there be light 💡
17/09/2022

And the Lord said, Let there be light 💡



14/09/2022

3Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda mapenzi ya Mataifa; kuenenda katika ufisadi, na tamaa, na ulevi, na karamu za ulafi, na vileo, na ibada ya sanamu isiyo halali. 7 Lakini mwisho wa mambo yote umekaribia; basi, iweni na akili, mkeshe katika sala (1 Petro 4:3,7)

Usiku wa leo (saa mbili kamili) nitakuwa nikiungana LIVE na my brother  kwaajili ya TUESDAY LIVE CHAT huko youtube.Ninac...
13/09/2022

Usiku wa leo (saa mbili kamili) nitakuwa nikiungana LIVE na my brother kwaajili ya TUESDAY LIVE CHAT huko youtube.

Ninachokuomba, subsribe kupitia link iliyo kwenye bio yangu, halafu tutembee pamoja. Umebarikiwa sana

Address

Luhanga
Dar Es Salaam
11000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Total Transformation Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share