Dar es Salaam Pentecostal Assembly

Dar es Salaam Pentecostal Assembly The Dar es Salaam Pentecostal Assembly (DPA) is a Pentecostal church based in Dar es Salaam city.

02/06/2026

Pamoja na neema bado una nafasi yako ya kufanya, huwezi jisahau kwa sababu ya neema. Upo vitani mwanangu

26/05/2026
K**a kuna wakati unahitaji Mtetezi, ni sasa! Na Mtetezi wetu mkuu ni Roho Mtakatifu. πŸ•ŠοΈKuanzia KESHO Jumatano, tunaanza ...
19/05/2026

K**a kuna wakati unahitaji Mtetezi, ni sasa! Na Mtetezi wetu mkuu ni Roho Mtakatifu. πŸ•ŠοΈ

Kuanzia KESHO Jumatano, tunaanza KONGAMANO KUBWA LA PENTEKOSTE hapa DPA Goba. Tumeandaa SIKU 5 maalum za "Kutetewa na Roho Mtakatifu".

Usikubali kupigana vita vyako kwa akili na nguvu zako mwenyewe. Njoo upokee nguvu mpya na ulinzi wa kiroho!

Mungu amewaandaa watumishi wake, Mchungaji wetu mwenyeji, Hanington Kabuta pamoja na Mchungaji Jesse Matosha, kutuvusha katika siku hizi tano za kipekee. HII USIKOSE!

πŸ—“οΈ Lini: KESHO Jumatano hadi Jumapili
⏰ Muda: Saa 10:00 Jioni – 12:00 Jioni
πŸ“ Mahali: DPA Goba, Tegeta A – Mtaa wa Msabila
πŸ“ž 0765 306 113

Mtumie ujumbe huu mtu unayetaka kuhudhuria naye kesho!

13/05/2026

Leo tunapoanza maombi ya kufunga ya siku tatu basi hebu tuanze na misingi dhabiti juu ya sifa za muombaji.

Saa 10 kamili jioni leo tutakutana kwa ajili ya ibada ya pamoja.

Mahali: DPA Goba, Tegeta A – Mtaa wa Msabila.

πŸ“ž Mawasiliano: +255 765 306 113

10/05/2026

Karibu kanisani karibu tuanze maombi wote jumatano hii ya mfungo, Mungu yupo na anatenda kila iitwapo Leo

Wewe ni mgeni wetu wiki hii na tanakupenda sana, karibu kanisani.

Mahali: DPA Goba, Tegeta A – Mtaa wa Msabila.

πŸ“ž Mawasiliano: +255 765 306 113

08/05/2026

"Malaika kazi yao ya kwanza ni kuleta majibu ya maombi" - Pst. .kabuta

Leo mtumishi wa Baba Mchungaji anatukumbusha kazi za malaika.

04/05/2026

Mwenyekiti wa CMF hapa DPA-GOBA alikuwa na mawili matatu ya kusema k**a sehemu ya shukrani, kuonyesha furaha na shauku yake juu mafanikio ya idara hii hapa DPA.

Una neno gani la kumwambia mwenyekiti wa CMF kutokana na mafanikio makubwa katika idara yake?

Ibada iliyoongozwa na CMF jumapili hii imekuwa ni ibada yenye nguvu sana na kanisa zima lilibarikiwa mno kwa huduma yenu...
04/05/2026

Ibada iliyoongozwa na CMF jumapili hii imekuwa ni ibada yenye nguvu sana na kanisa zima lilibarikiwa mno kwa huduma yenu.

Mungu awabariki sana CMF kwa kujitoa kumtumikia Bwana.....


Tunawapenda wageni, karibuni kanisani.
Mahali: DPA Goba, Tegeta A – Mtaa wa Msabila.
πŸ“ž Mawasiliano: +255 765 306 113

Address

TAG Dar Es Salaam Pentecostal Assembly (DPA)
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dar es Salaam Pentecostal Assembly posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Dar es Salaam Pentecostal Assembly:

Share