Mwl Nyahendebright

Mwl Nyahendebright Mwl Nyahende Bright ni mwalimu wa neno la Mungu na msimazi wa kituo cha mafundisho ya Mungu na maombezi.

Tupo Majohe(Mjeshi),Barabara ya Viwege,Dar es salaam
karibu katika mafundisho yetu kila Jumapili saa 02:00 Asubuhi na kuendelea.

03/06/2026

“Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.”
— Waefeso 6:10 (Biblia Takatifu)

*22 - 24, May 2026* . *KIGOMA, TANZANIA.*  *FPCT - KASANDA  CONFERENCE.*Tunawashuru watu wa Kasanda Kwa kuandaa kongaman...
24/05/2026

*22 - 24, May 2026* .
*KIGOMA, TANZANIA.*
*FPCT - KASANDA CONFERENCE.*
Tunawashuru watu wa Kasanda Kwa kuandaa kongamano bora la watumishi wa Mungu.

Karibu tujifunze pamoja, makongamano yetu ni shule kamili ya biblia, njoo na biblia, Pen na daftari, tunajifunza pamoja.

K**a unapenda kushiriki pamoja nasi na kuhudumia watakatifu ndani na nje ya nchi, karibu tuwasiliane.
*0716 129 494*

24/05/2026

*22 - 22, May 2026* .
*KIGOMA, TANZANIA.*
*FPCT - KASANDA CONFERENCE.*
Tunawashuru watu wa Kasanda Kwa kuandaa kongamano bora la watumishi wa Mungu.

Karibu tujifunze pamoja, makongamano yetu ni shule kamili ya biblia, njoo na biblia, Pen na daftari, tunajifunza pamoja.

K**a unapenda kushiriki pamoja nasi na kuhudumia watakatifu ndani na nje ya nchi, karibu tuwasiliane.
*0716 129 494*

*18 - 19, May 2026* . *SHINYANGA, TANZANIA.*  *UNION VISION MISSION CONFERENCE.*Tunawashuru watu wa Shinyanga Kwa kuanda...
19/05/2026

*18 - 19, May 2026* .
*SHINYANGA, TANZANIA.*
*UNION VISION MISSION CONFERENCE.*
Tunawashuru watu wa Shinyanga Kwa kuandaa kongamano bora la watumishi wa Mungu.

Karibu tujifunze pamoja, makongamano yetu ni shule kamili ya biblia, njoo na biblia, Pen na daftari, tunajifunza pamoja.

K**a unapenda kushiriki pamoja nasi na kuhudumia watakatifu ndani na nje ya nchi, karibu tuwasiliane.
*0716 129 494*

*17 May, 2026.*  *Shinyanga, Tanzania.* Watakatifu wa Shinyanga wako tayari kupokea ugeni na kunifunza neno la Mungu kwa...
17/05/2026

*17 May, 2026.*
*Shinyanga, Tanzania.*
Watakatifu wa Shinyanga wako tayari kupokea ugeni na kunifunza neno la Mungu kwa bidii, usipange kukosa k**a uko karibu, zingatia ratiba

18 - 19, MAY - SHINYANGA.
20 - 21, MAY - MWANZA.
22 - 24, MAY - KIGOMA

Karibu tujifunze pamoja.
*Mawasiliano: +255 716129494*

Tunamshukuru Mungu kwa kutujalia kukamilisha Kongamano la Singida na Leo tunaanza Arusha, Tanzania.Karibu sana.K**a upo ...
13/05/2026

Tunamshukuru Mungu kwa kutujalia kukamilisha Kongamano la Singida na Leo tunaanza Arusha, Tanzania.
Karibu sana.
K**a upo jirani, karibu sana.

09/05/2026

Start small and grow big

29/04/2026

Zaburi 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
² Bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
³ Naye atakuwa k**a mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa.

*29 May, 2026.*  *Tabora, Tanzania.* Tabora they are ready for Pastors Training in June, Kampala - Uganda. What are you ...
29/04/2026

*29 May, 2026.*
*Tabora, Tanzania.*
Tabora they are ready for Pastors Training in June, Kampala - Uganda. What are you waiting to register. Time is now, we are almost 100

Watakatifu wa Mungu wamejiandaa kushiriki darasa la wachungaji , karibu tujifunze pamoja, jisajiri wakati ni sasa.
Kusoma, uniform, kula na kunywa, kulala na kuishi, Vitabu vya kuniunzia, network na wachungaji toka Uganda, Zambia, Kenya, Tanzania, Rwanda, Congo, Burundi, Sudani, Burundi etc Bure kabisa l, hakuna malipo yoyote.

*15 YEARS ANNIVERSARY* Ni miaka zaidi ya 15 sasa na Mungu amekuwa mwaminifu katika yetu.Si Kwa Sababu Sisi ni bora kulik...
25/04/2026

*15 YEARS ANNIVERSARY*
Ni miaka zaidi ya 15 sasa na Mungu amekuwa mwaminifu katika yetu.
Si Kwa Sababu Sisi ni bora kuliko wengine au tuna hekima zaidi bali ni neema ya Mungu inatusaidia.

Mungu anapokupa make/mume hakupi malaika ni mwanadamu kabisa, usisahau kumuomba Mungu akupe neema ya kuishi nae Kwa Amani, upendo na uvumilivu katika madhaifu yake aliyo nayo.

Ni ombi langu Kwa Mungu awabariki Wana ndoa wote na wanaotarajia kuingia katika ndoa. Huku tunafuraha kuu katika Kristo Yesu Bwana wetu.
*Karibuni Sana.*

Address

Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 23:00
Saturday 09:00 - 13:00
Sunday 09:00 - 19:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwl Nyahendebright posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mwl Nyahendebright:

Share