Zion Fire Ministry

Zion Fire Ministry Official page of ZION FIRE MINISTRY

Ni siku nyingine tena nakukumbusha usikae kimya na ukashindwa kumshukuru Mungu maana wapo wengine waliotamani kuiona sik...
11/08/2026

Ni siku nyingine tena nakukumbusha usikae kimya na ukashindwa kumshukuru Mungu maana wapo wengine waliotamani kuiona siku k**a hii ya pekee lakini hawakupata nafasi kuiona usiache kujua kwamba lipo kusudi la Mungu ndani yako ndicho chanzo cha sababu Kuu kwanini bado upo hai.

Tafuta kulijua hilo kusudi la Mungu ndani yako ili ulitimize na uende na wakati utafanikiwa usichoke kumtumaini Mungu katika hali zote ulizonazo.

Nakukumbusha wewe uliyekwisha kuona umesimama jiangalie usije ukaanguka tena endelea kuwa mnyenyekevu na mwenye kujali wengine na kuwasaidia, Bwana Mungu Awabariki na Kuwalinda

"HABARI NJEMA NI KWAMBA  TUNAKUKARIBISHA SANA KATIKA IBADA KUUUUBWA SANA YA "USIKU WA KUANGAMIZA WAAMALEKI" IJUMAA HII
06/08/2026

"HABARI NJEMA NI KWAMBA TUNAKUKARIBISHA SANA KATIKA IBADA KUUUUBWA SANA YA "USIKU WA KUANGAMIZA WAAMALEKI" IJUMAA HII

Alhamisi hii kupitia whatsapp group mambo ni moto
06/08/2026

Alhamisi hii kupitia whatsapp group mambo ni moto

04/08/2026
Je, umechoka kuona vita zilezile zikijirudia katika maisha yako?Kuna mapambano ambayo hayaishi kwa nguvu za mwanadamu, b...
03/08/2026

Je, umechoka kuona vita zilezile zikijirudia katika maisha yako?

Kuna mapambano ambayo hayaishi kwa nguvu za mwanadamu, bali kwa kusimama katika uwepo wa Mungu. K**a vile Musa waliinua mikono yake na Israeli wakawashinda Waamaleki (Kutoka 17:8–13), ndivyo usiku huu wa maombi unavyoweza kuwa mwanzo wa ushindi wako.

Usikose “Usiku wa Kuangamiza Waamaleki.” Huu si mkesha wa kawaida; ni usiku wa kumtafuta Mungu kwa bidii, kuvunja minyororo ya adui kwa maombi, na kuomba nguvu mpya za kuendelea mbele.

Njoo na familia yako, rafiki yako, na mtu yeyote anayehitaji mguso wa Mungu. Huenda usiku huu ukawa hatua ya mabadiliko ambayo umekuwa ukiiombea kwa muda mrefu.

Agosti ni mwezi wa habari njema na urejesho wa Mungu katika maisha yangu.
03/08/2026

Agosti ni mwezi wa habari njema na urejesho wa Mungu katika maisha yangu.

Tumekuja mlima sayuni  kuzungumza na wewe Isaya 41:21
03/08/2026

Tumekuja mlima sayuni kuzungumza na wewe Isaya 41:21

01/08/2026

I’m waiting for you at the Jesus Mountain on this SUNDAY

August is the month of GoodNews

KWA KUWA YESU AMEKUPENDELEA UANZE NA HATUA MPYA USIKOSE
30/07/2026

KWA KUWA YESU AMEKUPENDELEA UANZE NA HATUA MPYA USIKOSE

🔥 ZION CITY PRESENTS 🔥KOMBOA MZALIWA WA KWANZATHEME: DAMU YA UKOOJe, wewe ni mzaliwa wa kwanza unayepitia mapambano yasi...
24/07/2026

🔥 ZION CITY PRESENTS 🔥

KOMBOA MZALIWA WA KWANZA

THEME: DAMU YA UKOO

Je, wewe ni mzaliwa wa kwanza unayepitia mapambano yasiyoelezeka, kuchelewa kutimiza ndoto, kurudia matatizo ya kifamilia au mizigo ya kiroho? Yesu Kristo ana nguvu za kukukomboa na kuvunja kila kifungo.

“Israeli ni mwanangu, mzaliwa wangu wa kwanza.”
— Kutoka 4:22

Unapopata taarifa hii mwambie na mwingine kwa maombi ya kinabii, ukombozi na kuvunjwa kwa kila mnyororo unaopambana na hatima ya mzaliwa wa kwanza.

Jumamosi hii, Saa 2:00 Asubuhi (08:00 AM)

Usikose! Damu ya Yesu ina nguvu ya kukomboa, kurejesha na kufungua hatima yako.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zion Fire Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share