Assembly Of Believers Church Global - Ubungo Msewe

Assembly Of Believers Church Global - Ubungo Msewe A place of The Word, Power, Holiness, Greatness And Impactful Teachings.

Maombi ni njia ya mawasiliano kati ya ufalme wa mbinguni na raia wake waliopo duniani.— Bishop Jordan Mwakatage
04/08/2026

Maombi ni njia ya mawasiliano kati ya ufalme wa mbinguni na raia wake waliopo duniani.

— Bishop Jordan Mwakatage




Hongera sana, Askofu Jordan Yusuph Mwakatage! Tunakupongeza kwa dhati mchungaji Jordan Mwakatage kwa hatua kubwa na yeny...
03/08/2026

Hongera sana, Askofu Jordan Yusuph Mwakatage!

Tunakupongeza kwa dhati mchungaji Jordan Mwakatage kwa hatua kubwa na yenye baraka ya kuwekwa wakfu kuwa Askofu.

Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya maisha yako, huduma yako na uaminifu wako katika kulitumikia Kanisa. Tunakuombea, Mungu akupe hekima, neema, nguvu na uongozi wa Roho Mtakatifu katika jukumu hili jipya.

Hongera sana Askofu Jordan Mwakatage!
Mungu akubariki, akutie nguvu na akutumie kwa utukufu wa Jina lake.



ON THIS DAY WE CELEBRATE GOD’SGOODNESS AND KINDNESS PACKAGEIN YOU.YOU ARE UNIQUE, SPECIAL ANDWONDERFULLY MADEYOU ARE A L...
03/08/2026

ON THIS DAY WE CELEBRATE GOD’S
GOODNESS AND KINDNESS PACKAGE
IN YOU.

YOU ARE UNIQUE, SPECIAL AND
WONDERFULLY MADE

YOU ARE A LOVING MENTOR & TEACHER
FULL OF WISDOM & KNOWLEDGE
WE ALWAYS FIND PEACE
AND GUIDANCE EVERY TIME
YOU SPEAK INTO OUR LIVES

THE UNCONDITIONAL LOVE OF GOD
THAT FLOWS THROUGH YOUR GOLDEN
HANDS HAS TRANSFORMED US
AND A THOUSANDS OF LIVES IN AN
AMAZING WAY

WE LOVE YOU

Happy Birthday Mom Godliver Jordan Mwakatage

KARIBU SANA KWENYE GIANT WOMEN CONFERENCE! Tunawakaribisha kwa moyo wa upendo wanawake wote kushiriki katika Giant Women...
03/08/2026

KARIBU SANA KWENYE GIANT WOMEN CONFERENCE!

Tunawakaribisha kwa moyo wa upendo wanawake wote kushiriki katika Giant Women Conference, siku maalum ya kujengwa, kuimarishwa na kuinuliwa kiroho.

“Kwa maana ni kwa wakati k**a huu…” — Esta 4:14

📅 Jumamosi, 26 Septemba 2026
⏰ Saa 9:00 Asubuhi – 4:00 Jioni
📍 JAG Church, Ubungo Makuburi – Karibu na Makaburi ya Kwa Temba (Nyuma ya Mabibo Hostel)

🎤 Mnenaji: Pastor Godliver Jordan

Njoo pamoja na rafiki, dada, mama au binti mwingine; Usikose nafasi hii ya kipekee!

Tunakuja k**a wanawake, tunaondoka k**a majitu!
KARIBU SANA — WEWE NI SEHEMU YA MWALIKO HUU!



02/08/2026

HUU NI ZAIDI YA WIMBO, HUU NI UKIRI, HAYA NI MAOMBI.

Maombi ya watu wa imani hata pale ambapo kila kitu kipo kinyume nao, lakini bado kuna ujasiri mwingi wa kuendelea mbele maana yupo Mungu.

SISI WENGINE TUMEMUWEKA YESU WA KWANZA KABLA YA CHOCHOTE; WAKATI WENGINE WANASEMA SINA CHOCHOTE MIMI NITASEMA NINA WEWE YESU.

"Mwili wangu na moyo wangu hupunguka, Bali Mungu ni mwamba wa moyo wangu Na sehemu yangu milele." — Zaburi 73:26

NINAE MUNGU ANAEWEZA KUNIPA KILA JEMA NINALOTAKA

https://youtu.be/AEUColZE7QE?si=oSrM9wyAVwM498fT

WIMBO HUU UNAPATIKANA YOUTUBE ANDIKA MINISTER GOLDIE JORDAN

Barikiwa unapochukua muda kusikiliza wimbo huu

Usisahau Like. Comment. Subscribe. Share

Mazoezi ya kiroho yatakufanya ukue katika neema ya Mungu.— Pastor Jordan Mwakatage
29/07/2026

Mazoezi ya kiroho yatakufanya ukue katika neema ya Mungu.

— Pastor Jordan Mwakatage




Neno la Mungu ni unabii wa uhakika juu ya maisha yako.— Pastor Jordan Mwakatage
29/07/2026

Neno la Mungu ni unabii wa uhakika juu ya maisha yako.

— Pastor Jordan Mwakatage




Mungu hamuinui mtu kwa sababu ya vigezo vya nje kwanza, Mungu anamuinua mtu kwa sababu ya hali ya moyo wake.— Pastor Jor...
28/07/2026

Mungu hamuinui mtu kwa sababu ya vigezo vya nje kwanza, Mungu anamuinua mtu kwa sababu ya hali ya moyo wake.

— Pastor Jordan Mwakatage




28/07/2026

Kila wakati unapotaka kuishia njiani si Mungu anataka kuacha, ni wewe unataka kuacha.

Pastor Jordan Mwakatage



Huku kwetu Yesu amefanya tena na kutushangaza kwa nguvu teleNi Engagement ya Brothe Amani Abraham na Minister Ndipona Jo...
26/07/2026

Huku kwetu Yesu amefanya tena na kutushangaza kwa nguvu tele

Ni Engagement ya Brothe Amani Abraham na Minister Ndipona John

Hongera sana ndugu zetu kwa kuanza safari hii njema ya uchumba kuelekea ndoa takatifu, tunawashangilia na kuwafurahia sana

SISI TU ISHARA NA AJABU




Address

Assembly Of Believers Church GLOBAL, Msewe Street
Dar Es Salaam
16103

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Assembly Of Believers Church Global - Ubungo Msewe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share