18/03/2022
FURSA FURSA FURSA
🇹🇿BFSUMA TZ🇹🇿.
BFSUMA ni Kampuni ya kimataifa Toka MAREKANI inayo jihusisha na Uzalishaji na Usambazaji wa VIRUTUBISHALISHE
•••Kwa MTAJI MDOGO KABISA WA KUANZIA SHILINGI ELFU AROBAINI NA SITA(Tsh 46,000/=) jiunge nasi
***UTAFANYA BIASHARA yenye Faida Kubwa
++Utofauti wa BFSUMA na KAMPUNI zinginezo
1)UBORA WA BIDHAA,bidhaa zetu ni bora kwa kuwa na matokeo mazuri kwa kila mtumiaji
2)BEI YA BIDHAA,tuna bidhaa nyingi za Bei ya chini Ambazo watu Wengi wana Mudu hivyo itakurahisishia kufanya biashara kwa watu wa matabaka/level zote
Eg.tuna bidhaa hadi za shilingi ELFU NNE MIA SITA(4,600/=)
3)NAMNA YA KUANZA BIASHARA,ni rahisi kuanza biashara na BFSUMA kwani MTAJI unaohitajika ni kuanzia shilingi elfu arobaini na Sita tu (Tsh 46,000/=)Ambayo watu Wengi wana mudu...BFSUMA hatuna kuanza biashara kwa PACKAGE za kupangiwa uchukue bidhaa ambazo huna hata mteja wa hizo bidhaa ...Utachukua bidhaa ambayo una mteja anaihitaji au unayohitaji kuitumia
*** Tunaamini kumpatia mtu package ya LAKI 8,LAKI 5,laki3 nk Ambazo Magavi /wakala hana mteja wa hizo bidhaa ni kumrudisha nyuma KIUCHUMI kwani utakua umezuia MZUNGUKO wa hiyo pesa
4)MPANGO MASOKO BORA NA UNAOTEKELEZEKA,mpango masoko wa BFSUMA ni rahisi kwa kila Mwenye kujituma katika kufanya kazi hivyo huwezesha WAGAVI/MAWAKALA Kupata BONUS KILA MWEZI,ku QUALIFY SAFARI NA MAGARI
5)BIZAA AINA NYINGI NA ZINAZALISHWA NA KAMPUNI YENYEWE(BFSUMA),Kampuni ya BFSUMA ina bidhaa nyingi zaidi ya AINA 40 Zinazozalishwa na kampuni yenyewe hivyo huzungatia hitaji sahihi la watumiaji kwa wakati husika na kuendelea kuingiza AINA zingine kila wakati kuendena na mahitaji ya Soko,hij pia hufanya KAMPUNI KUWA NA UHAKIKA WA KUWEPO KWA MIAKA MINGI BILA KUYUMBA KWANI WAO WENYEWE NDIO WAZALISHAJI WA BIDHAA lakini KAMPUNI ZINGINEZO Hazizalishi bidhaa bali huingia Mikata na makampuni yanayozalisha bishaa hii huweza pelekea Biashara kukatishwa wakati wowote kwa kua mzaliahaji na msambazaji ni watu wawili tofauti
6)MGAVI/WAKALA HUNUNUA BIDHAA ANAYOIHITAJI HATA K**A NI MOJA NA SIO KWA BUTCH(kundi)
...Kila bidhaa ina POINTS ZAKE
Kwa maelezo zaidi endelea kufwatilia au piga 0752696319