Cas Src Tag Makangarawe

Cas Src Tag Makangarawe Idara ya Vijana Kanisa la Tag Sinai Revival Church - Makangarawe

Hongereni vijana wa Src
14/07/2025

Hongereni vijana wa Src

NI LEO! NI LEO! πŸ”₯Ibada Mkubwa ya Vijana imefika.Ni ibada ya sifa, neno, kupika na kule!.Vijana wanasema usihau pilipili ...
14/07/2025

NI LEO! NI LEO! πŸ”₯
Ibada Mkubwa ya Vijana imefika.
Ni ibada ya sifa, neno, kupika na kule!.
Vijana wanasema usihau pilipili na ndizi maana chochote kinaweza kutokea.

Mahali: Sinai Revival Church (SRC) - Makangarawe
πŸ•’ Muda: Kuanzia Saa 10:00 jioni
πŸ“… Tarehe: 14 July 2025

UNAKOSAJE KWA MFANO? USIPANGE KUKOSA!

πŸ“ž Piga/WhatsApp: 0746 195 619 | 0718 747 332 | 0716 735 222
πŸ“² Follow: Sinai Revival Church

NI LEO! NI LEO! πŸ”₯Mkesha Mkubwa wa Vijana umefika.Usiku wa maombi, neno, uimbaji na ibada ya nguvu!Mahali: Sinai Revival ...
11/07/2025

NI LEO! NI LEO! πŸ”₯
Mkesha Mkubwa wa Vijana umefika.
Usiku wa maombi, neno, uimbaji na ibada ya nguvu!

Mahali: Sinai Revival Church (SRC) - Makangarawe
πŸ•’ Muda: Kuanzia Saa 3:00 Usiku
πŸ“… Tarehe: 11 July 2025

Tuhubiri, Tutakaribisha.
UNAKOSAJE KWA MFANO? USIPANGE KUKOSA!

πŸ“ž Piga/WhatsApp: 0746 195 619 | 0718 747 332 | 0716 735 222
πŸ“² Follow: Sinai Revival Church

Leo tulikuwa na pishi la Cas
03/03/2025

Leo tulikuwa na pishi la Cas

Mwangalizi wa Section ya Yombo & Mchungaji Kiongozi wa kanisa la Sinai Revival Church BURTON MGOWOLE anawatakia Christma...
24/12/2024

Mwangalizi wa Section ya Yombo & Mchungaji Kiongozi wa kanisa la Sinai Revival Church BURTON MGOWOLE anawatakia Christmas Njema na yenye baraka.

Uamsho Agenda Yetu, Nguvu Zaidi. Tumewaka hatuzimiki ni katika Funga Mwaka ya CA'S tunaifunga na Mama Yetu - Msimamizi w...
21/12/2024

Uamsho Agenda Yetu, Nguvu Zaidi. Tumewaka hatuzimiki ni katika Funga Mwaka ya CA'S tunaifunga na Mama Yetu - Msimamizi wetu Mzuri kwa chakula cha pamoja.

Vijan tupo tayari!
21/12/2024

Vijan tupo tayari!

Vijana kutoka katika kanisa la Tag Sinai Revival Church walipokuwa wakiutambuliza wimbo wao  na mtangazaji
28/09/2024

Vijana kutoka katika kanisa la Tag Sinai Revival Church walipokuwa wakiutambuliza wimbo wao na mtangazaji

Vijana kutoka katika kanisa la Tag Sinai Revival Church walipokuwa wakiutambuliza wimbo wao  na mtangazaji
28/09/2024

Vijana kutoka katika kanisa la Tag Sinai Revival Church walipokuwa wakiutambuliza wimbo wao na mtangazaji

*Bwana Yesu asifiweeeeeeeeee*Mambo ni fireeeeeMambo ni motooooooMambo ni buru burrrruuuuuuuuKwaya ya CA's SRC imewaka ha...
19/09/2024

*Bwana Yesu asifiweeeeeeeeee*

Mambo ni fireeeee
Mambo ni motoooooo
Mambo ni buru burrrruuuuuuuu

Kwaya ya CA's SRC imewaka haizimikiiiiiii yaani ni mwendo wa kukiwashaaaaa tu mbele kwa mbele moto umewakaaaaaaaaaaaaaaa

Jumamosi ya tarehe 28/9/2024 wanakwaya tutakuwa na mahojiano Radio Wapo 98.1 Dar es Salaam na mtangazaji mahili katika kipindi cha "Gospel Cerebration kinachoruka majira ya saa 8 mchana hadi saa 10 jioni". Hivyo wewe k**a sehemu ya huduma yetu tushirikiane kwa pamoja siku ya jumamosi ya tareh 28 kwa kuwaombea wanakwaya, kuwasapoti kwa hali na mali lakini siku hiyo kusikiliza wapo redio tutatambulisha wimbo wetu wa K**A SI BWANA.

Ubarikiwe sana!

Address

468R+VVX
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00
Sunday 06:30 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cas Src Tag Makangarawe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category