Pentecostal Church of God in Tanzania

Pentecostal Church of God in Tanzania PCGT ni kifupi cha neno Pentecostal Church of God Tanzania yaani Kanisa la Kipentekoste la Mungu Tanzania. Makao makuu yapo Dallas Califonia Marekani.

Kwa Tanzania Makao Makuu yapo Kipunguni B karibu kabisa na Shule ya Masaka. Kanisa la Pentecoste limeanzia mkoani Mbeya. Mwanzilishi ni Askofu Anyimike Mwakalasya. LIna matawi katika mikoa mingi ya Tanzania. Makao makuu kwa sasa yapo ktk kanisa la PCGT lililopo Kipunguni B, karibu na shule ya Masaka

30/10/2024

Mtu anayeongoza ibada ya kumsifu & kumwabudu Mungu akiwa rohoni, anaweza akawaambukiza upako na wote wakaanza kuabudu...!

30/10/2024

Kuna kipindi unaweza ukapitia majaribu hadi ukadhani wewe umelaaniwa! usidhanie hivyo bali Mungu anaumba saburi, uthabiti..Rum 5:3

25/10/2024

Kazi ya Nabii ni kutujulisha mambo yatakayotokea mbele,haijalishi ni mema au mabaya! wajibu wetu ni kuyazingatia hayo maagizo.

23/10/2024

Moja ya mambo tunayolaumiwa sana walokole ni "uvivu na kukosa uaminifu" hebu badilika ndg yangu! Fanya kazi kwa bidii uone matokeo

22/10/2024

Roho ya ajali inatembea TZ, inuka uombee, usipoomba utaletewa msiba wa mtoto/mzazi/mke/mme wako....!! Kemea, kemea,kemea!!

21/10/2024

Hata k**a umefika mahali huoni tumaini ktk maisha yako, ipo siku utaliona..!Kama unaona umezungukwa na milima, iko siku utatoboa!

19/10/2024

Neno "Imani yako imekuponya Lk 8:48" unalielewaje? je ulishawahi kulitumia na kuona matokeo? Kwa sehemu kubwa imani inaponya!

09/10/2024

Mungu yupo karibu sana wewe unayepitia majaribu! Usidhani Mungu amekuacha! Vumilia tu hata mimi nimepitia magumu sana!

14/09/2024

Kushika sabato ni kumwabudu Mungu kwa kimwili. Itakulazimu uende Yerusalemu kuabudu Yoh 4.20. Mungu haitaki ibada hiyo Yoh 4:24

12/09/2024

Yesu Kristo yu karibu sana kulinyakua kanisa lake. Kilio na kusaga meno is loading at an increasing rate.......! get prepared

25/08/2024

Ile siku ya "unyakuo" walokole wengi sana wataachwa! Sababu wengi sana wamejichafua, tabia zao ni vuguvugu! Mtafute sana Mungu...!

25/08/2024

Tuombe sana Mungu atuvushe salama 2024, Tuwe na maombi ya akiba kuelekea 2025. Maombi ya akiba yatatupa nguvu ya kuvuka salama..!

Address

Kipunguni B Near Masaka School
Dar Es Salaam

Telephone

+255754624756

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pentecostal Church of God in Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pentecostal Church of God in Tanzania:

Share