NEw Restoration CHurCh

NEw Restoration CHurCh New Restoration Church. Ni kanisa la kiroho lilopo Tanzania. Na huduma zinazotolewa ni maombi na maombezi kwa watu mbali mbali wenye shida na matatizo yote.

Na kufundishwa neno la MUNGU. YOHANA 24: mrudieni Mungu maana mwisho wa dunia umekaribia.

Bwana Yesu asifiwe wa pendwa. Napenda kuwa karibisha katika ibada ya juma pili ya tar 24/12/2023 ni juma pili ya matendo...
23/12/2023

Bwana Yesu asifiwe wa pendwa.
Napenda kuwa karibisha katika ibada ya juma pili ya tar 24/12/2023 ni juma pili ya matendo makuu ya Bwana ntaombea mtu mmoja mmoja na kumpaka mafuta ya kuinuliwa k**a daudi alivyo pakwa mafuta na samweli ili kuinuliwa kuwa mfalme. Muda ni saa 3:30 asubui mpaka 7:00 mchana. Naomba uje juma pili hii mafuta nitakayo kupaka yatakuwa ni mafuta ya kuinuliwa kazini kwako, kuinuliwa kwenye cheo, kuinuliwa kibiashara na utainuliwa kila mahali na Bwana kupitia mafuta haya mwaka 2024.

Mahali ni njia panda ya Tegeta A njia ya kwenda kwa bedui unashuka kituo cha darajani.

Utakuwa umefika au piga simu 0763484094
Wote mnakaribishwa. Ibada hii ni bure.

08/11/2023

Muamini Mungu kwa wakati sahihi atenda na kwako, usipoteze Imani yako kwake kwasababu ya unayoyapitia hapo ulipo utavuka tu 😊

Unae amini type ameni 🙏

13/01/2022
29/12/2020

Bwana Mungu wako hatakuacha Mwaka 2021 utavuka wewe pamoja na Watoto wako Mali zako na kila kitu chako. Isaya 42:22.

Kwa maombi piga simu +255763484094.

19/09/2020

Kanisa la kiroho

19/09/2020

New Restoration Church. Dar es Salaam
Inakuletea Ibada ya kufunguliwa kila Alhamis jioni wote mnakaribishwa.

Kwenye siku ya deliverance na wewe ili ufunguliwe kwanini uteseke na hayo magonjwa au matatizo uliyo nayo njoo umpe Yesu mizigo yako ya mteso au matatizo unayo pitia ili upone. Amen

Address

Makabe. Uwanjani
Dar Es Salaam

Opening Hours

09:00 - 13:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NEw Restoration CHurCh posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to NEw Restoration CHurCh:

Share