jesus_glory_2020

jesus_glory_2020 NILETEENI WATU WANGU WANIABUDU

Nilete wito katika Jina la Yesu:1. Kadi zipo kwaajili kuwashirikisha marafiki zetu.2. Tununue mchele na vitu vya Huduma ...
14/06/2021

Nilete wito katika Jina la Yesu:
1. Kadi zipo kwaajili kuwashirikisha marafiki zetu.

2. Tununue mchele na vitu vya Huduma ili kutunisha mfuko wa Misheni. _Unaweza kula na Misheni.

3. Standing Order. Unaweza kuelekeza benki kupeleka kiasi kisichopungua sh 15,000.00 kila mwezi au simu yako - kiasi chochote - kuelekea akaunti za *KUFIKA KUSIKOFIKIWA:*
Benki ya Azania, Jina: JG Foundation. Na. *011000007606.* Au;
Simu *0755 21 30 23* - Jina litakuja *Jesus Glory.*

4. Ahadi. Unaweza kuahidi kumtumikia Mungu kwa kiasi unachosikia moyoni kutumika ili *Kumletea Mungu Watu Wamwabudu.*

5. Ubia. Unaweza kuingia ubia - biashara yako ama kazi yako kuwa kila pato utakalopata utatoa kiasi au asilimia (%) fulani katika kazi ya *Kumletea Mungu Watu Wamwabudu.*

Karibu. Shiriki Kazi hii. *_Tumpelekee Mungu Watu Wamwabudu_*

09/06/2021

Wapendwa,
A. Siku k**a ya leo *09 Juni mnamo mwaka 2013* Huduma ya JESUS GLORY ilianza IBADA za *INJILI DAY* katika Huduma yake ya *KUFIKA KUSIKOFIKIWA.* Mgeni rasmi katika ibada hii alikuwa Askofu Mwinjilisti *Moses Kulola.*
B. Hii ilikuwa IBADA yenye lengo na ina lengo la kueleza mambo muhimu *mawili* (2):
*1. Injili inaweza kufanya nini (what Gospel can do!) au umuhimu wa Injili.*
*2. Kutoa SADAKA Maalumu kwaajili ya kupeleka INJILI kwa WASIOFIKIWA na Injili.*
C. Leo, sisi wote hapa pamoja tunaombwa tumshukuru Mungu kuwa tangu kuanza IBADA hizi *zimefanyika kila mwaka tangu wakati huo.*
D. Ubarikiwe uliyeweza kushiriki Kumwabudu Mungu na; katika miaka hii *tisa (9)* uliyemletea Mungu watu Wamwabudu.
E. Ibada ya INJILI DAY mwaka huu ilifanyika siku ya tarehe 14 Machi *ikiwa ibada ya TISA (9)*
F. Huduma ya Jesus Glory yenye malengo ya *KUMLETEA MUNGU WATU WAMWABUDU* ilianza mwaka *2001* ambapo ilifanya mikutano ya kwanza minne (4) mfulululizo ya INJILI katika maeneo manne (4) tofauti tangu *21 Agosti 2001 - 15 Septemba 2001.*
G. Katika miaka hii, mwaka wa 2021 ukiwa mwaka wa *21* tangu kuanza kwa Huduma hii, *roho za watu wengi zimeokolewa na wengi wamekutana na Yesu.*
H. Aidha, baadhi ya watu wa Mungu watendaji na waliohubiriwa walipata 'promotion' wakaitwa na Bwana.
I. Nakuomba ndugu mpendwa, tumia muda wa leo 09 Juni 2021 kwa unyenyekevu *MSHUKURU MUNGU KWA MSAADA WAKE KATIKA KUMTUMIKIA na mengine mengi utakayoyakumbuka.*
Margareth Kamugisha
Mkurugenzi.
(Mwanzilishi)
Jesus Glory.
0754 96 77 28

Misheni ya Tanga ikiendelea na ushuhudiaji wa nyumba kwa nyumba.
05/06/2021

Misheni ya Tanga ikiendelea na ushuhudiaji wa nyumba kwa nyumba.

Karibu tumlingane Mungu pamoja!!
15/01/2021

Karibu tumlingane Mungu pamoja!!

Baada ya kazi ya Kupeleka Injili vijijini ambako hakujawahi kufikiwa kabisa na Injili, Jesus Glory huwa na Family Day ya...
05/01/2021

Baada ya kazi ya Kupeleka Injili vijijini ambako hakujawahi kufikiwa kabisa na Injili, Jesus Glory huwa na Family Day yaani kukutana kwaajili ya mapumziko na kufurahi pamoja na familia za wana JG na Marafiki wa JG. Tuna mshukuru Mungu Mwaka huu pia tulifanikiwa kuwa na wakati mzuri sana wa kufurahi pamoja.

Tuko tayari sasa Mwakani kuingia tena Huko vijijini ambako hakujafikiwa na Injili.

Karibu tena tuungane pamoja Kumletea Mungu watu wake wa Mwabudu

JG Afya Life StyleInakuletea,Siku Maalumu ya- Kuimarisha afya zetu kwa njia ya Mazoezi,- Mwanasheria wa kutushauri namna...
05/01/2021

JG Afya Life Style
Inakuletea,

Siku Maalumu ya
- Kuimarisha afya zetu kwa njia ya Mazoezi,
- Mwanasheria wa kutushauri namna na vitu muhimu katika kuandika Wosia,
- Lengo Kuchangia Ada za Watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu.

Tarehe: 12 Jan 2021
Mahali: Oysterbay
Muda: saa 7:00 mchana - 12:30 jioni
Umri: Miaka 10 - 75
Mavazi: Nguo za Michezo.

Mazoezi:
> Patakuwa na Michezo na Mashindano mbalimbali, Mazoezi ya Kunyoosha na Kulainisha Viungo ili kupunguza uchovu na msongo wa mawazo.

> Mazoezi yote yatakadiriwa kulingana na umri na “health conditions” za mtu.

Maji na vitafunwa vitatolewa
Hii ni fursa nzuri ya kujifunza, kujumuika na watu na; Fedha itakayopatikana italipa Ada za Watoto wasio na Ada.

Kiingilio:
TSh 15,000/= kwa mmoja
TSh 25,000/= wanandoa
TSh 10,000/= kwa mtoto.

Malipo yafanyike kupitia +255 755 21 73 69 Jesus Glory
Usajili uko wazi mpaka 5 Jan 2021

Kuuliza
1. +255 745 30 98 06
2. +255 755 21 73 69
3. +255 717 31 77 58
Email [email protected]

Whatsapp https://wa.link/z2cg6t

Kujisajili https://forms.gle/RHch48Xbf7XYEQiF8

Afya, Kupeleka Watoto Shule

Address

Kijitonyama
Dar Es Salaam
P.OBOX31120DARESSALAAM,TANZANIAEASTAFRICA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when jesus_glory_2020 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to jesus_glory_2020:

Share