UVKMT Dayosisi ya Mashariki

UVKMT Dayosisi ya Mashariki Mennonite Church of Tanzania
Eastern Diocese

Sisi UVKMT Dayosisi ya Mashariki tunatoa pongezi nyingi sana kwa mhazini wetu Ester Joel kwa hatua hii kubwa kuelekea ma...
02/01/2026

Sisi UVKMT Dayosisi ya Mashariki tunatoa pongezi nyingi sana kwa mhazini wetu Ester Joel kwa hatua hii kubwa kuelekea maisha ya ndoa takatifu, ni imani yetu kuwa Mungu aliyeianzisha safari hii ataikamilisha hadi mwisho wake, AMEN.

25/10/2025
Weekend hii (jumamosi) ya Oktoba 25, 2025 - Eneo ni moja tu paleeee Kanisa la Mennonite jimbo la Temeke.Ni kwenye ibada ...
21/10/2025

Weekend hii (jumamosi) ya Oktoba 25, 2025 - Eneo ni moja tu paleeee Kanisa la Mennonite jimbo la Temeke.

Ni kwenye ibada kubwa ya hitimisho la JUMA LA VIJANA - Dayosisi ya Mashariki.
Ewe mwana UVKMT - Dayosisi ya Mashariki unakosaje kwenye ibada hii babkubwaa??

Hapa tutamwimbia Bwana...
Kisha tutamchezea Bwana...
Mwisho tutamimina mioyo yetu mbele za Bwana kwa maombi ya kuliombea Taifa, Kanisa na Familia zetu
Karibuni nyote.

 ☮️☮️
25/09/2025

☮️☮️

09/08/2025
Wapendwa shalom! Jumatatu semina hii itazinduliwa rasmi Mennonite jimbo la Upanga usipange kusahau kushiriki utukufu wa ...
23/02/2025

Wapendwa shalom!
Jumatatu semina hii itazinduliwa rasmi Mennonite jimbo la Upanga usipange kusahau kushiriki utukufu wa kwanza wa uzinduzi huu.
Karibuni sana

Semina! Semina! Semina!
12/02/2025

Semina! Semina! Semina!

Karibuni nyote 📌
30/12/2024

Karibuni nyote 📌

Kongamano la vijana kitaifa ni kuanzia Disemba 09 - 15, 2024.Karibuni nyote Dayosisi ya Arusha.
26/11/2024

Kongamano la vijana kitaifa ni kuanzia Disemba 09 - 15, 2024.
Karibuni nyote Dayosisi ya Arusha.

Address

Dar Es Salaam
P.O.BOX5566DARESSALAAM

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UVKMT Dayosisi ya Mashariki posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to UVKMT Dayosisi ya Mashariki:

Share