Masjid Taqwa - Mubarak Ishqir

Masjid Taqwa - Mubarak Ishqir Mabibo Sahara

Assalam alaykum warahmatullah.Nafasi ya kusoma elimu ya dini mtandaoni (online) na kuweza kupata cheti mara baada ya kuh...
14/01/2025

Assalam alaykum warahmatullah.

Nafasi ya kusoma elimu ya dini mtandaoni (online) na kuweza kupata cheti mara baada ya kuhitimu masomo.

Gusa link hapa chini kisha kamilisha usajili ili kuanza masomo.

Assalam alaykum warahmatullah.Tangazo la ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini uholanzi. Tumia link hapa chini kupat...
16/09/2022

Assalam alaykum warahmatullah.

Tangazo la ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini uholanzi. Tumia link hapa chini kupata taarifa zaidi.

Kwa waombaji, msisite kutujulisha hapa baada ya kukamilisha hatua zote ili kuweka wepesi kwa wengine wataoomba.

http://www.studyinnl.org/finances/orange-knowledge-programme

Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh.Habari njema kwa waliomaliza elimu ya msingi na ya sekondari na wangependa kup...
08/09/2022

Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh.

Habari njema kwa waliomaliza elimu ya msingi na ya sekondari na wangependa kupata ujuzi zaidi. Bonyeza link hapa chini kupata fomu au ingia kwenye website veta.go.tz

https://www.veta.go.tz/publication/FOMU%20YA%20KUJIUNGA%20NA%20FANI%20ZITAKAZOTOLEWA%20KATIKA%20VYUO%20VYA%20VETA_2023.pdf

Pre Form One Program kwa wakazi wa eneo la mabibo wa dini zote.Kwa Gharama nafuu ya 5000/= kwa mwezi.Mlete mwanao, ndugu...
06/10/2021

Pre Form One Program kwa wakazi wa eneo la mabibo wa dini zote.

Kwa Gharama nafuu ya 5000/= kwa mwezi.

Mlete mwanao, ndugu, jirani na mfikishie ujumbe.

Eid Al adha 21/07/2021…Sura za bashasha kwa waumini na viongozi wao.Taqabbala llah minnaa waminkum…
21/07/2021

Eid Al adha 21/07/2021…

Sura za bashasha kwa waumini na viongozi wao.
Taqabbala llah minnaa waminkum…

Address

Mabibo-Sahara
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masjid Taqwa - Mubarak Ishqir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Masjid Taqwa - Mubarak Ishqir:

Share

Category