house_of_grace_klpt

house_of_grace_klpt Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from house_of_grace_klpt, Religious organisation, Dar es Salaam.

16/08/2026
Hatima By Pastor Emmanuel Shaidi• Wewe huwezi kubadilisha maisha yako k**a ukibaki hivyohivyoDeuteronomy 1:1• Sehemu ni ...
06/07/2026

Hatima By Pastor Emmanuel Shaidi
• Wewe huwezi kubadilisha maisha yako k**a ukibaki hivyohivyo
Deuteronomy 1:1
• Sehemu ni hii mwendo wa siku 11 kufika mahali apo
• Ila it took them 40 years kufika hio sehemu
• K**a Mungu angekufungulia macho ukaona hatima yako
• Usingebaki hivyohivyo
• Hujui vitu gani vimeshikiliwa
• Kuna mda ibilisi anaeza akakupa unachokitaka lakini amekuekea kuta nne
• Umezunguka sehemu hio hio anakutumia toys na kukubadilishia tu vitu
• Huwezi kutoka apo ulipo
Matthew 10:1

• Wewe umepewa amri juu ya pepo wachafu
• Leo tunaamsha hatimakubwa ilioko ndani yako
• Great Destiny..
• Hatima ni kitu au uwezo ambao Mungu alieka ndani yako unaufikia
• Mungu hakutengeneza kanisa wachungaji wawe kila kitu.
• Ukitaka kufanya jambo usiangalie kushindwa
• Kwa maana hata ikishindikana bado yeye ni Mungu
• Hiki ni kipindi its the season God is changing people from one stage to the other
• Mara nyingi kabla ya badiliko hilo hali inakua mbaya sana kuelekea hilo jambo kubwa
• Lakini shida watu wanacompromise katika hio hali mbaya
• Watu hushusha viwango
• Kuliko kushusha viwango vyako, bora ulale njaa
• Maana every time you compromise unarudisha hali nyuma zaidi
• DO NOT COMPROMISE
• Hali yako imekua mbaya zaidi, wakati ambao unasikia kukata tamaa zaidi ndipo mpenyo wako uko apo unakaribia.

Ipo Nguvu By Pastor Emmanuel Shaidi * Kanisa la sasa halina nguvu* Lina maneno tu* Shida ni kwamba watu wanaskia Neno il...
21/06/2026

Ipo Nguvu By Pastor Emmanuel Shaidi
* Kanisa la sasa halina nguvu
* Lina maneno tu
* Shida ni kwamba watu wanaskia Neno ila wakitoka apo nje wanasaha
* Ipo NGUVU
* Usikubali kukaa nazo hizo hali ipo Nguvu ya Bwana
Mark 11:20 And in the morning, as they passed by, they saw the fig tree dried up from the roots. Na asubuhi walipokuwa wakipita, waliuona ule mtini umenyauka toka shinani.
Mark 11:21

🔥 JUMAPILI YA BARAKA NA UDHIHIRISHO! 🔥Usikose ibada maalum ya Jumapili pamoja na Mch. Walter P. Shaidi kutoka South Afri...
10/06/2026

🔥 JUMAPILI YA BARAKA NA UDHIHIRISHO! 🔥

Usikose ibada maalum ya Jumapili pamoja na Mch. Walter P. Shaidi kutoka South Africa. Njoo upokee Neno la Mungu, maombi, na nguvu mpya kwa maisha yako.

📅 14 Juni 2026
⏰ Saa 3:00 Asubuhi – 6:30 Mchana
📍 Kibamba Kwa Mangi, Dar es Salaam

Mlete rafiki, ndugu au jirani yako. Mungu ana jambo jipya kwa ajili yako!

✨ Karibu upate mabadiliko, uponyaji na ujenzi wa imani yako.



🙏 Tag mtu ambaye ungependa kuabudu naye Jumapili hii!

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when house_of_grace_klpt posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share