Efatha Mkwajuni - Kinondoni

Efatha Mkwajuni - Kinondoni Bwana YESU Asifiwe!!! Karibu katika Page maalumu ya Efatha Mkwajuni.

Lengo la kuanzishwa kwa page hii ni kueneza INJILI kupitia MAFUNDISHO na MASOMO yanayo tolewa ndani ya Kanisa la Efatha .

NAIBARIKI JUMANNE YANGU. Maana Mimi, nitakuwa na Familia Bora. Naibariki Jumanne Yangu, maana Mimi ni MBARIKIWA.
14/04/2026

NAIBARIKI JUMANNE YANGU.

Maana Mimi, nitakuwa na Familia Bora. Naibariki Jumanne Yangu, maana Mimi ni MBARIKIWA.

NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU. Namshukuru BWANA kwa kuwa ni Mwema, kwa maana Fadhili zake ni za Milele; Mimi sifi kwa magonjw...
11/04/2026

NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU.

Namshukuru BWANA kwa kuwa ni Mwema, kwa maana Fadhili zake ni za Milele; Mimi sifi kwa magonjwa au ajali wala kwa mapenzi ya yule mwovu ama ya wanadamu. Nitamaliza Safari yangu salama na nitafikisha Umri ambao BWANA amenipangia ili Atukuzwe!!!

Asante BABA, nakushukuru.

NAIBARIKI IJUMAA YANGU. BWANA ni Nuru yangu na Wokovu wangu. BWANA ni Ngome ya Uzima wangu. Mimi ni Mshindi, Hakuna cha ...
10/04/2026

NAIBARIKI IJUMAA YANGU.

BWANA ni Nuru yangu na Wokovu wangu. BWANA ni Ngome ya Uzima wangu. Mimi ni Mshindi, Hakuna cha Kunishinda.

Ijumaa Yangu IMEBARIKIWA na BWANA.

NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. BWANA ndiye Mchungaji wangu, katika Malisho ya Majani mabichi hunilaza, kando ya Maji ya Utuli...
09/04/2026

NAIBARIKI ALHAMISI YANGU.

BWANA ndiye Mchungaji wangu, katika Malisho ya Majani mabichi hunilaza, kando ya Maji ya Utulivu huniongoza. Mimi Sitapungukiwa na Kitu.

Asante YESU, Nakupenda BWANA.

NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Ni Siku ya Kuchukua Urithi wangu. Nimefunguliwa Mlango Mkubwa wa Kufaa sana. Mimi ni Mmiliki. ...
08/04/2026

NAIBARIKI JUMATANO YANGU.

Ni Siku ya Kuchukua Urithi wangu. Nimefunguliwa Mlango Mkubwa wa Kufaa sana. Mimi ni Mmiliki.

Haleluya, Asante YESU, WEWE ni Mzuri BWANA.

NAIBARIKI IJUMAA YANGU. Adui zangu wote wamewekwa chini ya Miguu Yangu maana Bwana YESU aligongomelewa hatia zote dhidi ...
03/04/2026

NAIBARIKI IJUMAA YANGU.

Adui zangu wote wamewekwa chini ya Miguu Yangu maana Bwana YESU aligongomelewa hatia zote dhidi Yangu na hukumu zake katika Msalaba pale Kalvari. Aliweka madai yao yote chini ya Miguu Yake na Akashangilia, na Mimi leo NASHANGILIA.

Asante, YESU.

NAIBARIKI ALHAMISI YANGU. YESU ni Mzuri; Kwangu hakutapungua Kicheko, Sherehe, Furaha, Tafrija, Karamu na Utele. Hakutak...
02/04/2026

NAIBARIKI ALHAMISI YANGU.

YESU ni Mzuri; Kwangu hakutapungua Kicheko, Sherehe, Furaha, Tafrija, Karamu na Utele. Hakutakuwa na kulala njaa au kubangaiza Chakula bali nitakula Vinono.

Haleluya, Asante YESU.

Alhamisi yangu Imebarikiwa na BWANA.

NAIBARIKI JUMANNE YANGU. Ni Siku ya Familia; Furaha ya BWANA itatuzunguka, Amani ya BWANA haitatupungukia. Hakutakuwa na...
31/03/2026

NAIBARIKI JUMANNE YANGU.

Ni Siku ya Familia; Furaha ya BWANA itatuzunguka, Amani ya BWANA haitatupungukia. Hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo wala ukata. Maisha yetu yatakuwa Mazuri na Kicheko.

Sisi tumebarikiwa na BWANA.

Haleluya, Asante YESU.

NAIBARIKI JUMATATU YANGU. Mimi ni wa Mambo Makubwa na sio madogo; Kazini nitafanya Makubwa, kwenye Biashara nitafanya Ma...
30/03/2026

NAIBARIKI JUMATATU YANGU.

Mimi ni wa Mambo Makubwa na sio madogo; Kazini nitafanya Makubwa, kwenye Biashara nitafanya Makubwa, kwenye Kilimo nitafanya Makubwa, kwenye Uvuvi nitafanya Makubwa, kwenye Ufugaji nitafanya Makubwa, Shuleni nitafanya Makubwa, kwenye Utumishi wangu nitafanya Makubwa.

Mimi ni wa Mambo Makubwa na sio Madogo.

YESU asante.

NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU. Haleluya, YESU ni Mzuri; Mimi sifi kwa magonjwa au ajali wala kwa mapenzi ya yule mwovu ama ya...
28/03/2026

NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU.

Haleluya, YESU ni Mzuri; Mimi sifi kwa magonjwa au ajali wala kwa mapenzi ya yule mwovu ama ya wanadamu. Nitamaliza Safari yangu salama na nitafikisha Umri ambao BWANA amenipangia ili Atukuzwe!!!

Na nitahesabu Mapato yangu huku nikimfurahia BWANA.

BABA asante, YESU asante, ROHO MTAKATIFU asante.

NAIBARIKI IJUMAA YANGU. BWANA amenipa kuwa Kichwa, BWANA amenipa kuwa wa Kwanza, BWANA amenipa kuwa Juu, BWANA amenipa K...
27/03/2026

NAIBARIKI IJUMAA YANGU.

BWANA amenipa kuwa Kichwa, BWANA amenipa kuwa wa Kwanza, BWANA amenipa kuwa Juu, BWANA amenipa Kushinda. Mimi ni Mshindi, hakuna cha kunishinda.

Asante YESU.

Address

Mkwajuni
Dar Es Salaam

Telephone

+255628753182

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Mkwajuni - Kinondoni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share