Abantu Daily

Abantu Daily Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Abantu Daily, Dar es Salaam.

15/04/2026

Adai maslahi ya Wanakigoma mjini aitaka serikali kuboresha miundombinu ya barabara katika jimbo la kigoma mjini

15/04/2026

Baba Levo Aunguruma Bungeni

14/04/2026

Hakufumbia macho udini na ukabila

14/04/2026

Tuna kitu cha kujifunza hapaπŸ™

Himba kutoka Namibia
23/10/2025

Himba kutoka Namibia

South Sudan vibe
22/10/2025

South Sudan vibe

Miaka kumi na nne iliyopita Adui wa watu aliuawa dikteta asiye na utu aliyetenda mabaya katika nchi yake , mabaya ya kut...
22/10/2025

Miaka kumi na nne iliyopita Adui wa watu aliuawa dikteta asiye na utu aliyetenda mabaya katika nchi yake , mabaya ya kutoa maji bure,huduma za afya bure ,umeme bure na kulipa mishahara wananchi wake si unaona sasa nchi yao baada ya Demokrasia wanaishi k**a peponi bila madhira ya Muamar Gadaffi

Sisemi kitu mimi
17/10/2025

Sisemi kitu mimi

πŸ—ΊοΈ Ramani ya Nchi za Kiafrika Kabla ya Mkutano wa Berlin (1884-1885) Kabla ya wakoloni wa Ulaya kuchora mistari katika b...
04/10/2025

πŸ—ΊοΈ Ramani ya Nchi za Kiafrika Kabla ya Mkutano wa Berlin (1884-1885)

Kabla ya wakoloni wa Ulaya kuchora mistari katika bara zima, Afrika ilikuwa ni mkusanyiko wa falme zenye nguvu, masultani, na himaya - kila moja ikiwa na utamaduni wake, mitandao ya biashara, na utawala.

Kutoka kwa Dola ya Ashanti na Ufalme wa Kongo hadi Ufalme wa Wazulu, Ukhalifa wa Sokoto, na Ufalme wa Ethiopia, ramani ya kabla ya ukoloni inasimulia hadithi ya utofauti, diplomasia, na uthabiti.

Mkutano wa Berlin ulifanya upya mipaka hii bila kuzingatia historia - lakini ramani k**a hii inatukumbusha mizizi mirefu ya kisiasa na kitamaduni ya Afrika muda mrefu kabla ya ukoloni. 🌍

Heri ya Siku ya Uhuru NigeriaHappy Independence Day Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬
01/10/2025

Heri ya Siku ya Uhuru Nigeria

Happy Independence Day
Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬

Happy New Month Heri ya Mwezi Mpya πŸ”₯πŸ”₯
01/10/2025

Happy New Month
Heri ya Mwezi Mpya πŸ”₯πŸ”₯

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255744262394

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abantu Daily posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Abantu Daily:

Share