19/08/2024
KIPINDI KIPYA.
Karibu katika X-Space ili kuuliza au kusikiliza kipindi cha Maswali na Majibu Kuhusu Miamala ya Kifedha ya Kiislam na Biashara Halali.
Siku: Jumatano, 21st.08.
2024.
INGIA moja kwa moja kusikiliza kipindi siku na muda utakapowadia hapa 👉 https://x.com/i/spaces/1lPKqOPqMgmJb (lazima uwe na akaunti Twitter/ X).
Tuma swali lako LEO. USIKOSE!