Pedizenia Christian Family Foundation - PCFF

Pedizenia Christian Family Foundation - PCFF The Gospel Musician from Africa (TZ)/founder &MD of Pedizenia Christian Family Foundation/PCFF/Jesus

Ndugu zangu karibuni tumtukuze Mungu kwa mema yote anayotutendea
28/09/2021

Ndugu zangu karibuni tumtukuze Mungu kwa mema yote anayotutendea

Asante Sana Mungu kwa mema yote unayotutendea
28/09/2021

Asante Sana Mungu kwa mema yote unayotutendea

22/07/2021
17/06/2021

Wimbo Mungu aliniambia niuimbe tangu mwaka 2017 ambapo ndipo huduma yangu Mungu aliifunua ,,, HIVYO umekua baraka Sana kwangu na kwa wale walio usikiliza kar...

04/06/2021

Bwana Yesu asifiwe Wana wa Mungu,,, ningeomba Leo tutafakari pamoja kuhusu hili,,, Unajionaje unapokua na afya njema wakati huo Kuna mtu anaumwa Yuko hoi kitandani??? MUNGU anatka nikukumbushe Jambo hapa....

02/06/2021

Bwana Yesu asifiwe Wana wa Mungu aliye hai!!!

Hellow TANZANIA,, shalom arise and shine,, good mornin my country my GOD bless you forever!!
12/03/2021

Hellow TANZANIA,, shalom arise and shine,, good mornin my country my GOD bless you forever!!

Wapendwa Wimbo Wangu Mpya Naombeni Mniunge Mkono Kwa Kusascribe account yangu,,,,, Mungu awabariki
20/06/2020

Wapendwa Wimbo Wangu Mpya Naombeni Mniunge Mkono Kwa Kusascribe account yangu,,,,, Mungu awabariki

15/05/2020

Bwana Yesu Asifiwe!
Karibu usikilize semina ya neno la Mungu, itakayorushwa “LIVE” kupitia Upendo TV na Redio mbali mbali, kwanzia Alhamisi 21 Mei 2020 hadi Jumapili 24 Mei 2020, saa 10:30 jioni hadi saa 12:00 jioni. Mungu awabariki.

Address

Hedaru
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pedizenia Christian Family Foundation - PCFF posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share