24/07/2026
Nyumba inauzwa! Vyumba v3, sebule na vyoo viwili! Ina tyres, umeme na maji! Kiwanja kina 25m×20m na chote kimejengewa fance! Kina hati miliki ya miaka 99, na Kuna flem!! Nyumba Iko Dar es salaam kifuru Kwa hunju!! Bei ni 45 milioni! Karibu
0685840847