Kivule SDA Church

Kivule SDA Church Karibu Mpendwa! Huu ni ukurasa rasmi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Kivule - Dar es salaam

Highlights Ibada ya Sabato | Kufunga Makambi Mtaa wa Kivule 2026 | Nitakwenda Nikimsubiri Yesu
09/08/2026

Highlights Ibada ya Sabato | Kufunga Makambi Mtaa wa Kivule 2026 | Nitakwenda Nikimsubiri Yesu

Highlights Day 7 | Makambi Mtaa wa Kivule 2026 | Nitakwenda Nikimsubiri Yesu
07/08/2026

Highlights Day 7 | Makambi Mtaa wa Kivule 2026 | Nitakwenda Nikimsubiri Yesu

Highlight Day 6 | Makambi Mtaa wa Kivule 2026 | Nitakwenda Nikimsubiri Yesu
07/08/2026

Highlight Day 6 | Makambi Mtaa wa Kivule 2026 | Nitakwenda Nikimsubiri Yesu

Highlights Mchana Day 5 | Makambi Mtaa wa Kivule 2026 | Nitakwenda Nikimsubiri Yesu
05/08/2026

Highlights Mchana Day 5 | Makambi Mtaa wa Kivule 2026 | Nitakwenda Nikimsubiri Yesu

Highlights - Day 4 | Makambi Mtaa wa Kivule 2026 | Nitakwenda Nikimsubiri Yesu
04/08/2026

Highlights - Day 4 | Makambi Mtaa wa Kivule 2026 | Nitakwenda Nikimsubiri Yesu

Katika Sikukuu ya Makambi, mbingu yote hufurahi tunaporejea madhabahuni kwa kicho na heshima.Mchungaji Mathayo Sungura (...
26/07/2026

Katika Sikukuu ya Makambi, mbingu yote hufurahi tunaporejea madhabahuni kwa kicho na heshima.

Mchungaji Mathayo Sungura (Mchungaji wa Mtaa Majohe) atatubariki kwa mafundisho yatakayoturejesha miguuni pa Yesu!

Tunakualika kwa moyo mkunjufu katika Makambi ya Mtaa wa Kivule 2026. Panga kukutana na Mungu pamoja na familia, ndugu, jamaa, na marafiki.

Katika Sikukuu ya Makambi, mbingu yote hufurahi tunaporejea madhabahuni kwa kicho na heshima.Mchungaji Elitabu Kajiru (M...
26/07/2026

Katika Sikukuu ya Makambi, mbingu yote hufurahi tunaporejea madhabahuni kwa kicho na heshima.

Mchungaji Elitabu Kajiru (Mwenyekiti wa SEC) atatubariki kwa mafundisho yatakayoturejesha miguuni pa Yesu.

Tunakualika kwa moyo mkunjufu katika Makambi ya Mtaa wa Kivule 2026. Panga kukutana na Mungu pamoja na familia, ndugu, jamaa, na marafiki.

Katika Sikukuu ya Makambi, mbingu yote hugurahi tunaporejea madhabahuni kwa kicho na heshima.Mchungaji Caleb Migombo ata...
26/07/2026

Katika Sikukuu ya Makambi, mbingu yote hugurahi tunaporejea madhabahuni kwa kicho na heshima.

Mchungaji Caleb Migombo atatubariki kwa mafundisho yatakayoturejesha miguuni pa Yesu. Hakika, nitakwenda nikimsubiri Yesu!

Tunakualika kwa moyo mkunjufu katika Makambi ya Mtaa wa Kivule 2026. Panga kukutana na Mungu pamoja na familia, ndugu, jamaa, na familia.

Katika Sikukuu ya Makambi, mbingu yote hufurahi tunaporejea madhabahuni kwa kicho na heshima.Tunakukaribisha kwa moyo mk...
26/07/2026

Katika Sikukuu ya Makambi, mbingu yote hufurahi tunaporejea madhabahuni kwa kicho na heshima.

Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu katika Makambi ya Mtaa wa Kivule 2026. Panga kukutana na Mungu pamoja na familia, ndugu, jamaa, na marafiki.

Swali si k**a utakuja, ni utakuja na nani?

Karibu katika msimu wa sikukuu ya kipekee sana. Mkutano wa aina yake usio na kifani!Nitakwenda nikimsubiri Yesu - dalili...
21/07/2026

Karibu katika msimu wa sikukuu ya kipekee sana. Mkutano wa aina yake usio na kifani!

Nitakwenda nikimsubiri Yesu - dalili zinaonekana na ukombozi wetu umekaribia! Piga parapanda, itangazwe kila mahali Yesu yuaje tena!

Tunakualika kwa moyo mkunjufu katika Makambi ya mtaa wa Kivule 2026. Tenga muda, panga kukutana na Mungu katika msimu huu wa baraka pamoja na ndugu, jamaa, na marafiki.

Address

KIVULE SDA CHURCH
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kivule SDA Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share