11/08/2026
Hadithi ya kweli ya maisha,
Nilihitimu miaka 8 iliyopita na Tangia hapo nilianza kutafuta Ajira
Nilihitimu kwa kupata matokeo mazuri sana lakini Kazi kwangu ilikuwa Tatizo
Niliingia kwenye mahusiano na mchumba wangu miaka 5 kabla ya kuhitimu na alikuwa na matumaini kwamba nitapata kazi baada ya kumaliza Shule na tutafunga ndoa na kuishi pamoja k**a mume na mke , lakini hapo ndipo hofu yangu ilipoanzia
Nilienda kwenye interview kwenye taasisi zaidi ya 9 lakini wote waliniambia kitu kile kile.... "Samahani haujakidhi vigezo vya kupata ajira hii"....Haa!๐ณ Wakati ninaufaulu wa hali ya juu
Siku moja mchumba wangu alinialika kwenye Kanisa lake na baada ya mchungaji kumaliza kuhubiri Alingia kwenye maombi na neno lake la kinabii lilikuwa maalumu kwaajili yangu
Alitoa unabii akisema,, kuna kijana ambaye hatima yake imefungwa na shetani na hii imesababisha ashindwe kupata kazi kwa miaka mingi, baada ya mchungaji kuomba niliitikia Amen kwa sauti kubwa huku nikiwa na imani,na niliamini alikuwa anaongea na Mimi
Wiki iliyofuata kampuni kubwa ya mafuta iliniita haraka na kunipa Ajira,walinipa usafiri wangu binafsi,walinipa nyumba mpya na waliadhimia kunihudumia kwa kila ambacho nitakuwa nakihitaji
Hakika bado Mungu wetu yupo kwenye biashara ya kufanya Miujiza
Sasa Ninatamka kwamba ikiwa utajinyenyekeza na kusema Amen kwa Imani,, mambo mawili yatatokea kwako
{1}kila mipango ya shetani ambayo imekuzuia kubarikwa na kufanikiwa itaharibiwa
{2} Baraka zako zitakupata kabla ya Mwaka 2026 kuisha na hadithi ya maisha yako itabadilika
Na ndivyo itakavyokuwa katika Jina la Yesu kristo
Ikiwa wewe ndio huyo mtu ninaye ongea naye Andika Amen Yenye Nguvu