RHIC church

RHIC church RESTORATION OF HEARTS INTERNATIONAL CHURCH

Permanently closed.
TUNAMTUKUZA YESU KWA KUTUWEZESHA KUMALIZA MFUNGO WETU WA SIKU 21 HAKIKA AMETENDA MUNGU HAWABARIKI WOTE KWA KUWA PAMOJA N...
28/01/2024

TUNAMTUKUZA YESU KWA KUTUWEZESHA KUMALIZA MFUNGO WETU WA SIKU 21 HAKIKA AMETENDA MUNGU HAWABARIKI WOTE KWA KUWA PAMOJA NASI 🙏🏾

Maombi ya siku 21 yanaendelea usipange kukosa Njoo Tumuombe Mungu pamoja Jioni saa  05:00
13/01/2024

Maombi ya siku 21 yanaendelea usipange kukosa Njoo Tumuombe Mungu pamoja Jioni saa 05:00

leo ni siku ya nne ya maombi yetu ya siku 21
11/01/2024

leo ni siku ya nne ya maombi yetu ya siku 21

leo ni siku ya pili ya maombi yetu ya siku 21 na k**a kawaida yetu jioni saa 11 tukutane kanisani RHIC Tabata segerea mw...
09/01/2024

leo ni siku ya pili ya maombi yetu ya siku 21 na k**a kawaida yetu jioni saa 11 tukutane kanisani RHIC Tabata segerea mwisho

Ni vizuri  zaid kuanza mwaka na Bwana hivo tutakuwa na maombi ya siku 21 na tumeanza leo ungana nasi katika maombi haya
08/01/2024

Ni vizuri zaid kuanza mwaka na Bwana hivo tutakuwa na maombi ya siku 21 na tumeanza leo ungana nasi katika maombi haya

kanisa la restoration of hearts international church chini ya mtumishi wa Mungu Kuhani Dr JOHN SHUSHO tunakutakia heri y...
31/12/2023

kanisa la restoration of hearts international church chini ya mtumishi wa Mungu Kuhani Dr JOHN SHUSHO tunakutakia heri ya mwaka mpya, mwaka 2024 ukawe mwaka wa baraka kwako na mafanikio ya kiroho na kimwili.
amen.

Seminar ya kufunga Mwaka kutakua na seminar nzuri kabisa ya kufungia Mwaka katika kanisa letu zuri la RHIC Siku ya jumat...
26/12/2023

Seminar ya kufunga Mwaka kutakua na seminar nzuri kabisa ya kufungia Mwaka katika kanisa letu zuri la RHIC Siku ya jumatano saa 05:00 jioni hadi saa 07:00 usiku Tafadhari panga kuhudhuria pia alika na wengine Karibu

Yesu akawakazia macho, akasema, Kwa wanadamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo; maana yote yawezekana kwa Mungu.        ...
21/12/2023

Yesu akawakazia macho, akasema, Kwa wanadamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo; maana yote yawezekana kwa Mungu.

SEMINA YETU LEO TENA INAENDELEA KARIBU NYOTE MUDA : 05:00 JIONIPLACE : TABATA SEGEREA MWISHO
26/10/2023

SEMINA YETU LEO TENA INAENDELEA KARIBU NYOTE
MUDA : 05:00 JIONI
PLACE : TABATA SEGEREA MWISHO

Ungana nasi kesho katika Ibada nzuri sana hapa RHIC SEGEREA MWISHO Tutakua live Facebook na youtube
07/10/2023

Ungana nasi kesho katika Ibada nzuri sana hapa RHIC SEGEREA MWISHO
Tutakua live Facebook na youtube

Tulikua na IBADA NZURI SANA YA KUSIFU NA KUABUDU RHIC
23/04/2023

Tulikua na IBADA NZURI SANA YA KUSIFU NA KUABUDU RHIC

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RHIC church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share