18/03/2026
MARK 8:15➡️
Kituko cha wanafunzi wa Yesu wakati ule ndio kituko cha anafunzi wa Yesu leo.
📖Yesu anawaambia jilindeni na chachu ya mafarisayo wao wakaanza kuzinguana,kubishana juu ya msosi (mikate),kitu ambacho Yesu hakunaanisha hicho(misconception)
NOTE:Yesu alimaanisha wajilinde na hila, husda, chuki za mafarisayo wao wakadhani anawasema kwa kutobeba mikate safarini..
🌡WANAFUNZI WA LEO:Msiparuane, msigombane Yesu hajamaanisha hicho kinachowafanya mparuane .Rudini mkamuulize hivi Yesu unamaanisha chachu ya mikate au ni fumbo dhidi ya hila,husda, chuki za mafarisayo.?