Dorcas Gospel Ministry

Dorcas Gospel Ministry to make gospel viral everywhere in the world

21/03/2025

Kwenye hii dunia,kwa bahati mbaya, hakuna mtu anayegundua machozi yako. Hakuna mtu anayeona huzuni yako. Hakuna mtu anayeona maumivu yako. Lakini kila mtu hugundua makosa yako .

13/02/2025

God bless you people

09/02/2025

God bless you

19/08/2023

“… ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. kwa maana Maandiko Matakatifu yasema, ‘Kila amwaminiye hatatahayarika.’ Kwa maana hakuna tofauti kati ya Myahudi na Mgiriki, kwa maana Bwana wa wote ni yule yule ambaye ni tajiri kwa wote wamwitao. Kwa maana ‘kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa.’” ( Warumi 10:9-13 )

18/08/2023

Kamwe nasfi yako isitawaliwe na Mambo matatu:
1.watu
2.pesa
3.mambo yaliyopita

15/08/2023

It all begins and ends in the mind. What you give power to, has power over you if you allow it. 💪🏽

31/07/2023

HUWEZI KUFANIKIWA KATIKA MAZINGIRA YAKO YA ASILI, WATU WALIOFANIKIWA SANA NI WALE TU AMBAO WAMEFANIKIWA KWENDA MBALI NA MAZINGIRA YAO YA ASILI. MWA 12:1

31/07/2023

WHY THE ROOF AND THE LEOPARD?

1. When an animal is mentioned, there is a lesson behind it,
Paa Ayala animals, they have their training,
So it's good to read them, and let us benefit,
Why the deer and the leopard, and then this one?

2. God's word to mention them, it is good to be understood,
There are reasons behind it, we should keep them,
let's not stay as customers, they will be named and run away,
Why the deer and the leopard, and then this one?

3. The foundation is not the animal, but what is behind it,
The characteristics of the animal, something should be learned,
Again, therefore, wisdom, and let us not fall,
Why the deer and the leopard, and then he eats.

4. They are foolish animals, let their wisdom be lost,
don't think, animals take a lesson,
Very well, look, the meaning does not come out,
Why the deer and the leopard, and then this one?

5. O daughter, get wisdom, let the animals understand,
Study their movements, let them be used in life,
That training is good, make it happen,
Why the deer and the leopard, and then this one?

6It's good, daughter, the behavior should be understood,
These animals themselves, let their wisdom shine,
Movements should be sent, and you should not be arrested,
Why the deer and the leopard, and then this one?

7. If you haven't got the lesson, let the lesson drop,
You see cartoons, laugh when a roof is mentioned,
So the lesson from the beginning, failed to be erased,
why the deer and the leopard, and then here it is?

8. I beseech the daughters, let this wisdom hold,
Study, be smart, love, don't go astray,
Protect yourself more, until it wakes up,
Why the deer and the leopard, and then this one?

9. The wisdom of the wild animals should be used,
Daughter, stand up, don't be ashamed,

18/07/2023

"In life, don't forget the people who were by your side when you are in trouble, many of them are not our brothers.. They are people from far away from you, but they use what they have to give you comfort in every situation and wealth, they are not greedy, not that they ARE rich, no! It is piety of their hearts to us, pray for them always"

14/07/2023

Fanya kile ambacho unataka kufanya kwa ajili ya kusudi la Mungu ukitambua kuwa kuna makundi matatu yatachomoza
1. Watakaokuunga mkono kwa dhati hadharani au sirini.
2. Watakaokupinga hadharani na wengine kwa siri wakijivaa kukuunga mkono.
3. Wenye kusikilizia upepo... Akitokea wa kukuunga mkono wamo na akija wa kukupinga watatoa hadi point za kukufanya uanguke.
Omba macho ya ndani na uweza wa Mungu YEHOVA kukusaidia kutambua watu wa kuambatana nao na kusafiri nao katika safari hiyo.
Usirudi nyuma ikiwa unalo hakikisho kuwa shauri hilo latokana na Mungu Mwenye Vyote.
Salem

Tanzania crussade June July 2022 Kenya to Tanzania....it was a very great blessing
21/09/2022

Tanzania crussade June July 2022 Kenya to Tanzania....it was a very great blessing

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255766459151

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dorcas Gospel Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share