10/04/2024
WOTE MNAKARIBISHWA KWENYE MAOMBI NA MAOMBEZI YA MTU MMOJAMMOJA IJUMAA HII APRIL 12 Loevaministry - Kuhani Eliah Abel Haule
Mtumishi wa Mungu kuhani ELIAH ABEL HAULE ataonana na mtu mmojammoja kuanzia Saa 1 kamili asubuhi na kufanya maombezi kwa watu wenye shida mbalimbali, karibu sana ufunguliwe na Yesu wa Mlima wa Ibada
PIGA SIMU: +255 677 402044