The Mission of Jesus Christ - DYI Ministry. Luk 19:10, John 3:16

The Mission of Jesus Christ - DYI Ministry. Luk 19:10, John 3:16 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from The Mission of Jesus Christ - DYI Ministry. Luk 19:10, John 3:16, Religious organisation, KIGAMBONI/UNGINDONI, Dar es Salaam.

YOU'RE All INVITED TO JOIN THE MISSION OF JESUS CHRIST -DYI MINISTRY THE PLATIFORM WHERE GOD's MIGHT POWER OPERATE .WE BELIEVE IN GOD's LOVE& HIS BLOOD
JOHN 3:16 GOD LOVES YOU REGARDLESS OF YOU'RE SITUATION, JUST REPENT AND CALL ON THE NAME OF JESUS

11/01/2026
MITHALI 28:1Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri k**a simba.πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ”₯. Angalia pale unapotenda d...
18/06/2025

MITHALI 28:1
Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri k**a simba.πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ”₯.
Angalia pale unapotenda dhambi mara nyingi watu hawakimbilii Toba badala yake hujihisi hatia na kwenda mbali na Mungu zaidi na hata hukaa mbali na madhabahu na Watumishi wa Mungu ambao wangekua msaada kwao kuukaa karibu na Mungu, that's Nature lakini watu wa rohoni hushuka na kunyenyekea na kuomboleza Kwa toba na Kisha kusonga mbele na safari ya Wokovu. MUNGU AKUPE NEEMA YA KUTAMBUA KOSA PALE UNAPOANGUKA NA KUMRUDIA MUNGU TENA

17/06/2025

KARIBU SANA KWA SADAKA YAKO YA UJENZI WA NYUMBA YA KUABUDIWA KADRI UTAKAVYOJAALIWA NA MUNGU AKUBARIKI SANA, UNAWEZA NIONA INBOX AU UKATUMA KWA NO HII 0718239050 JINA SOPHIA BOAZ . MUNGU AKUBARIKI SANA

17/06/2025

Together with JESUS πŸ’ͺ

05/09/2024

It's always free.

With Adorable kids – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰
24/08/2024

With Adorable kids – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰

25/12/2023
26/11/2023

Shalom Kanisa la Bwana, HAKIKA NINAYO SABABU KUBWA SANA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU YA LEO , IMEKUA YA BARAKA MMNO KWANGU NA KWA KANISA , KWANI NI SIKUKUU YA WAMAMA NA MABINTI, ILIKUA NI IBADA YA MEZA YA BWANA , TUMEMUONA MUNGU KWA VIWANGO VIBWA SIFA KWA YESU KRISTO MBARIKIWE WOTE MLIOWEZA KUFIKA

*Jifunze kumshukuru MUNGU kwa hari n'a jinsi ulivyo bila kujali mazingira yanayokuzunguka, shida n'a majaribu unayopitia...
05/08/2023

*Jifunze kumshukuru MUNGU kwa hari n'a jinsi ulivyo bila kujali mazingira yanayokuzunguka, shida n'a majaribu unayopitia kikubwa ni pumnzi uliyonayo ambayo haulipii hΓ’ta sumni, kumbuka yote unayoyahangaikia haukuja navyo hapa duniani n'a wakati wa kuondoka duniani yote utayaacha . mtazame dada huyu alichokibeba siko begi tu bali ni moyo bandia, lakini Bado anafura n'a uso wenye tumaini. Biblia inasema " Wamtumainio Bwana ni k**a mlima sayuni hawatatikisika milele daima" KATIKA YOTE MTUMAINI BWANA YEYE ANAJUA HATIMA YAKO.*

Address

KIGAMBONI/UNGINDONI
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Mission of Jesus Christ - DYI Ministry. Luk 19:10, John 3:16 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The Mission of Jesus Christ - DYI Ministry. Luk 19:10, John 3:16:

Share