SALEM JESUS FIRE Ministry, Yombo Dsm

SALEM JESUS FIRE Ministry, Yombo Dsm Yombo, Kijiwe Samli uwanja wa Kaliagogo CCM

Huduma ya Salem Jesus Fire Ministry
chini ya Mpakwa Mafuta wa Bwana Apostle Thobias Tihaya ni Huduma ya Ukombozi na Uponyaji kwa watu wa dini zote na tamaduni zote tunawakaribisha Sana.

Bwana Yesu Asifiwe! Jumapili ya Leo Tar 31 JULY 2022 Ibada ya Uponyaji na Sifa watumishi wa Bwana wamefunguliwa na kupok...
31/07/2022

Bwana Yesu Asifiwe! Jumapili ya Leo Tar 31 JULY 2022 Ibada ya Uponyaji na Sifa watumishi wa Bwana wamefunguliwa na kupokea Uponyaji kwa viwango vya Juu Sana.
Ibada zetu ni kwa Dini na itikadi zote Tunawakaribisha tushiriki pamoja ibada za Bwana.
Tupo Yombo mbele ya serikali ya Mtaa wa Yombo.
Neno la Leo: "IMANI KATIKA MATENDO NA UTII NDIO BARAKA NA MLANGO WA KUINGIA KTK UFALME WA MUNGU"

Matayo 7:21-23

Hallelujah Bwana Yesu Asifiwe sana!!Jumapili ya Leo Tar 26 Juni 2022 watumishi wa Bwana wamefunguliwa na kupokea Uponyaj...
26/06/2022

Hallelujah Bwana Yesu Asifiwe sana!!
Jumapili ya Leo Tar 26 Juni 2022 watumishi wa Bwana wamefunguliwa na kupokea Uponyaji kwa jina la Yesu Bwana wetu Aliye Hai

Shuhuda: "Nilikuwa Mgonjwa na sikuweza kujifungua kwa muda mrefu Ila kupitia madhabahu ya Salem Jesus Fire nimefunguliwa na kujifungua Mtoto wa kiume baada ya muda mrefu..."

Ibada zinafanyika Yombo Kiwalani pembeni ya Shule ya msingi Yombo na mkabala na serikali ya mtaa wa Yombo, dsm.

Somo La Leo: "Pendo la Mungu ni Sheria lazima Tulitii"

Karibuni Sana watu wote wa dini zote na watumishi wa Mungu Tuabudu pamoja!

Mtumishi: Thobias Tihaya

Hallelujah Wana wa Mungu.Ibada ya jumapili ya leo tar 3 April 2022 watumishi wa Mungu wamefunguliwa na kubarikiwa kwa da...
03/04/2022

Hallelujah Wana wa Mungu.
Ibada ya jumapili ya leo tar 3 April 2022 watumishi wa Mungu wamefunguliwa na kubarikiwa kwa damu ya Yesu kristo.
Ibada zinafanyika Yombo Kijiwe Samli uwanja wa Kaliagogo kila jumapili saa 3 Asubuhi mpaka saa 5 Asubuhi.
Watu wote wa dini zote mnakaribishwa tushiriki pamoja ibada za Bwana Yesu kristo.

Neno la leo: "Mpango wa Mungu ni kila Mwanadamu aweze kuokolewa"

Kitabu: Yohana 3:16

Bwana Yesu Asifiwe Sana ibada ya jumapili ya leo tar 13 Machi 2022 Bwana Yesu Amewafungua na kuwaponya watumishi wa Bwan...
13/03/2022

Bwana Yesu Asifiwe Sana ibada ya jumapili ya leo tar 13 Machi 2022 Bwana Yesu Amewafungua na kuwaponya watumishi wa Bwana kwa viwango vya juu Sana.
Ibada zinafanyika Yombo Kijiwe Samli uwanja wa Kaliagogo kila jumapili saa 3 Asubuhi mpaka saa 6 Mchana.
Watu wa dini zote na itikadi zote mnakaribishwa tushiriki pamoja ibada za Bwana.

Neno la leo: Huu no wakati wa kufanya kazi ili kutimiza agizo la Yesu la kitume.

Kitabu: marko 16:15-16 , Matendo: 1:8

MATUKIO YA UKOMBOZI KWA JINA LA YESU YAKIENDELEA IBADANI LEO TAREHE 16/01/2022.
16/01/2022

MATUKIO YA UKOMBOZI KWA JINA LA YESU YAKIENDELEA IBADANI LEO TAREHE 16/01/2022.

Bwana Yesu Asifiwe Sana.Ibada ya Jumapili tar 9 January 2022.************************************Mungu amewabariki na ku...
09/01/2022

Bwana Yesu Asifiwe Sana.
Ibada ya Jumapili tar 9 January 2022.
************************************
Mungu amewabariki na kuwafungua watumishi wa Bwana wamefunguliwa na Kupokea Uponyaji kwa Damu ya Yesu Kristo Aliye Hai.
Ibada zinafanyika Yombo Kijiwe Samli uwanja wa Kaliagogo kila jumapili saa 3 Asubuhi mpaka saa 5 Asubuhi na saa 9 jioni mpaka saa 11 jioni.
************************************
Alhamisi pia inafanyika ibada ya Ukombozi kuanzia saa 9 jioni mpaka saa 11 jioni.
Wote mnakaribishwa tushiriki pamoja ibada za Bwana Yesu Kristo Aliye Hai.

02/01/2022

Kila unacho hitaji kipo tayari tokea mwanzo Mungu Alisha kuungamanisha nacho.kama ni uhai wako Roho wa Mungu anaishi ndani yako.soma Mw 2:7.Kama ni mahitaji yako ya kila siku.Soma Mw 1:29.Kama ni kumiliki na kutawala,vipotayali maana kwa kusudi Hilo uliumbwa.Soma Mw 1:26.Kama ni baraka Alisha kubariki.Soma Mw 1:28.Waefeso.1:3-5.Kama ni magonjwa amesema hatatia magonjwa juu yako.Soma kut.15:26.kut.23:25-26.Kama ni Adui.Mungu amesema atakuwa adui wa adui zako.kut.23:22.Kama ni vikwazo Mungu anasema uwe hodari na moyo wa ushujaa,usiogope Wala usihofu;kwa maana Bwana Mungu wako,yeye ndie anaye kwenda pamoja Nawe,hatakupungukia Wala hatakuacha.Soma kumb.31:6Kama ni kushindana Hakuna wa kukushinda.Soma.Joshua.1:5.Kama ni uchawi wewe huna wa kukuloga.Soma Hesabu.23:23(Kuanzia leo Nataka utambue Jambo Hili yakwamba Mateso na Maumivu yote unayoyapitia Adui yako siyo shetani Wala siyo Mungu;Bali ni (Akili yako mwenyewe)Nakuombea kwa Jina la Yesu Kristo Akili yako ifunguke ili upate kufanya maamuzi sahihi.maana Aina ya Maisha unayotaka kuishi yako ndani ya Maamuzi yako.Fanya uchaguzi sawasawa Hakika utashinda.Soma kumb.30:19-20.kumb.11:26-28.Na
Nakutabiria mafanikio makubwa mwaka2022.Nakupenda Mungu wangu akubariki.

02/01/2022

Matukio katika video. Ibada ya Jumapili ya Leo tar 2 January 2022.
Watumishi wa Bwana wamefunguliwa na kuponywa kwa Damu ya Yesu Kristo Aliye Hai.

02/01/2022

Matukio katika video.
Ibada ya Jumapili ya Leo tarehe 2 January 2022.
Watumishi wa Bwana wamefunguliwa na kuponywa kwa Damu ya Yesu Kristo.
Ibada zinafanyika Yombo Kijiwe Samli uwanja wa Kaliagogo kila jumapili na Alhamisi.
Wote mnakaribishwa tushiriki pamoja ibada za Bwana wetu Yesu Kristo.

Haleluyah Bwana Yesu Asifiwe Sana.Matukio katika Picha ya Ibada ya Jumapili ya Leo tarehe 2 January 2022, watumishi wa B...
02/01/2022

Haleluyah Bwana Yesu Asifiwe Sana.
Matukio katika Picha ya Ibada ya Jumapili ya Leo tarehe 2 January 2022, watumishi wa Bwana wamefunguliwa na Kupokea Uponyaji kwa Damu ya Yesu Kristo Aliye Hai.

Somo: Utii

Kitabu: Samuel 15 : 22 - 23

Kitabu Cha Kufungua ibada: Zaburi 47&49

Ibada zetu zinafanyika Yombo Kijiwe Samli uwanja wa Kaliagogo kila jumapili saa 3 Asubuhi mpaka saa 5 Asubuhi na jioni saa 09 jioni mpaka saa 11 jioni.
Wote mnakaribishwa tushiriki pamoja ibada za Bwana.

Matukio katika Picha ya Ibada ya kuuaga mwaka 2021 na kuukaribisha mwaka 2022.Watumishi wa Mungu wamebarikiwa na kufungu...
31/12/2021

Matukio katika Picha ya Ibada ya kuuaga mwaka 2021 na kuukaribisha mwaka 2022.
Watumishi wa Mungu wamebarikiwa na kufunguliwa kwa Damu ya Yesu Kristo.
Ibada zinafanyika Yombo Kijiwe Samli uwanja wa Kaliagogo kila jumapili saa 3 Asubuhi mpaka saa 5 Asubuhi na saa 9 jioni mpaka saa 11 jioni na Alhamisi saa 9 jioni.
Wote mnakaribishwa tushiriki pamoja ibada za Bwana.
Amen!

31/12/2021

Matukio ya video kwenye Ibada ya Kuuaga Mwaka 2021 na kuukaribisha Mwaka 2022 Mungu ametenda Maajabu na Miujiza kutokea
Ibada zinafanyika Yombo Kijiwe Samli uwanja wa Kaliagogo kila jumapili saa 3 Asubuhi mpaka saa 5 Asubuhi na saa 9 jioni mpaka 11 Jioni.
Karibuni Salem Jesus Fire Ministry Yombo Kijiwe Samli.

Address

Yombo Kijiwe Samli Uwanja Wa Kaliagogo CCM
Dar Es Salaam

Opening Hours

Wednesday 16:00 - 17:00
Thursday 15:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255769030401

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SALEM JESUS FIRE Ministry, Yombo Dsm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share