Deeper Life Bible church - Dar es Salaam Hqs

Deeper Life Bible church - Dar es Salaam Hqs What man is he that desires life, and loves many days, that he may see good?.

Usikose kushiriki katika Kongamano la kipekee la Ndoa na Familia. Watu wote wanakaribishwa bila kujali Udini, Udhehebu, ...
05/08/2025

Usikose kushiriki katika Kongamano la kipekee la Ndoa na Familia. Watu wote wanakaribishwa bila kujali Udini, Udhehebu, Utaifa, ukabila na Utamaduni.

Kongamano la watumishi wote mnakaribishwa.
23/07/2025

Kongamano la watumishi wote mnakaribishwa.

22/07/2025

Waimbaji wakimwimbia Mungu kwa vinubi

22/07/2025

EP 6- Hatima ya Maisha ya kijana inawezakana kufikiwa tu ikiwa lengo lako k**a kijana utatimiza. Fuatilia vipindi hivi upate kujifunza zaidi.

22/07/2025

EP 4- Hatima ya Maisha ya kijana inawezakana kufikiwa tu ikiwa lengo lako k**a kijana utatimiza. Fuatilia vipindi hivi upate kujifunza zaidi.

22/07/2025

EP 3- K**a kijana unaweza kuwa na mipango yako, ufanyeje? Fuatilia tukio hili uone jinsi ya kufanikisha mipango yako

22/07/2025

EP 2 - Karama yako hukufanya wewe kuwa wa tofauti, Ukiamini na kuitimia sawasawa itakuketisha na Wakuu. tunawezaje kufanikisha karama zetu fuatilia sasa tukio hili.

22/07/2025

EP 1 -Je Kijana anawezaje kufanikiwa kimasomo, kifani na kiroho? fuatilia tukio hili na Mengine yanayokuja

22/07/2025

EP8- Vijana ni nani ? Je mambo yapi anapaswa kuyafanya kijana katika maisha yake ili kuonyesha kuwa yeye ni kijana. fuatilia upate kujifunza mengi.

22/07/2025

EP6- Vijana wengi wanajikuta wanaangukia katika jambo hili pasipo kukugundua, lakini ili ufanikiwe ni lazima uzingatie jambo hili. fuatilia tukio hili tena upate kujifunza

22/07/2025

WOKOVU WA WOTE WA KIPEKEE NA USIO WA KAWAIDA:
Kujifunza Biblia kwa kina na kwa upana, kitabu kwa kitabu, mstari kwa mstari na sura kwa sura na aya kwa aya. Kuichambua Biblia na kujua Maelekezo yote ya Mungu kwa wanadamu.

Address

Box 7913
Dar Es Salaam
11101

Opening Hours

Monday 16:30 - 18:30
Thursday 16:30 - 18:30
Sunday 07:30 - 14:45

Telephone

+255624980735

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Deeper Life Bible church - Dar es Salaam Hqs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Deeper Life Bible church - Dar es Salaam Hqs:

Share