Nazareth SDA Church

Nazareth SDA Church Mbagala Kuu

🚨 17/10/2022 | USAJILI. Idara ya huduma ya vijana inawakumbusha wazazi/walezi kwa vijana kujisajili katika vyama ndani y...
13/12/2022

🚨 17/10/2022 | USAJILI.

Idara ya huduma ya vijana inawakumbusha wazazi/walezi kwa vijana kujisajili katika vyama ndani ya idara hii muhimu.

Kuelekea mianzo ya mwaka mpya wa mafunzo ndani ya idara ya huduma za vijana kanisani Nazareth, Jumamosi tutakuwa tunafanya usajili kwa vyama vyote. (Wavumbuzi, Watafuta Njia, Mabalozi na Vijana wakubwa).

Sabato Njema.Kanisani asubuhi tutakuwa na ibada ya pamoja na majirani, ndugu, jamaa na marafiki zetu katika sabato maalu...
25/11/2022

Sabato Njema.

Kanisani asubuhi tutakuwa na ibada ya pamoja na majirani, ndugu, jamaa na marafiki zetu katika sabato maalumu ya ujirani mwema.

Vipindi mbalimbali vya kudumisha umoja na ukaribu vitakuwepo. Programs kutoka kwa vyama vya vijana wadogo (AC & PFC), Uimbaji, Zawadi na Chakula cha pamoja.

Karibu tubarikiwe sote.

📸 : Kumbukumbu picha, Sabato ya vijana ya kufunga mwaka 2022.
22/11/2022

📸 : Kumbukumbu picha, Sabato ya vijana ya kufunga mwaka 2022.

📸 : Matukio picha, Sabato ya Vijana ya kufunga mwaka 2022.
19/11/2022

📸 : Matukio picha, Sabato ya Vijana ya kufunga mwaka 2022.

Mkurugenzi wa Pathfinder Paulina Robert (kushoto) akiwa na muimbaji wa kwaya ya Kanisa ya Nazareth Angel Ezekiel.📸: Kumb...
14/11/2022

Mkurugenzi wa Pathfinder Paulina Robert (kushoto) akiwa na muimbaji wa kwaya ya Kanisa ya Nazareth Angel Ezekiel.

📸: Kumbukumbu za Sabato iliyopita.

Sabato ilikuwa njema sana.🤗
12/11/2022

Sabato ilikuwa njema sana.🤗

Wahitimu wa kozi ya Kiongozi mkuu wakiwa ba mkurugenzi wa huduma za vijana kanisani.
12/10/2022

Wahitimu wa kozi ya Kiongozi mkuu wakiwa ba mkurugenzi wa huduma za vijana kanisani.

S I L V E R   AWARDS WINNERS.
09/10/2022

S I L V E R AWARDS WINNERS.

MG Investitured.
09/10/2022

MG Investitured.

Mungu atukuzwe kwa Ma Binti (3) hawa waliohitimishwa katika Kozi ya Kiongozi Mkuu.Siku ya 08/10/2022 itakua ya kukumbukw...
09/10/2022

Mungu atukuzwe kwa Ma Binti (3) hawa waliohitimishwa katika Kozi ya Kiongozi Mkuu.

Siku ya 08/10/2022 itakua ya kukumbukwa kwa vijana hawa wanaoenda kushiriki katika mpango wa wokovu kwa wengine na kwao.

08/10/2022 Tukio la uvishaji wa vijana waliohitimu kozi za Kiongozi Mkuu na Kiongozi Mwandamizi, PLA na Tuzo za Silver n...
05/10/2022

08/10/2022 Tukio la uvishaji wa vijana waliohitimu kozi za Kiongozi Mkuu na Kiongozi Mwandamizi, PLA na Tuzo za Silver na Gold kwa konferensi ya kusini mashariki mwa Tanzania.

Vijana wa Kanisa la Waadventista Wasabato Nazareth watakuwepo.
Kwaya ya Vijana ya Kanisa Wavunaji watahudumu.

Well.. That Day is Here.
23/08/2022

Well.. That Day is Here.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nazareth SDA Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Nazareth SDA Church:

Share