FPCT - Gongo la Mboto

FPCT - Gongo la Mboto Kuokoka ni kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yako. Yesu anakupenda sana, amua kuokoka, atakupa raha nafsini mwako

29/08/2026

KARIBUNI SANA TUABUDU PAMOJA...
MUNGU KWA HESHIMA YA KRISTO YESU.

MPENDWA KATIKA KRISTO YESU KARIBU TUJUMUIKE PAMOJA IBADA YA JUMAPILI YA TAR 30.08.2026...ILI KUFIKA KANISANI PIGA NO 068...
28/08/2026

MPENDWA KATIKA KRISTO YESU KARIBU TUJUMUIKE PAMOJA IBADA YA JUMAPILI YA TAR 30.08.2026...
ILI KUFIKA KANISANI PIGA NO 0688 661 251 AU map tafuta ...
FPCT-gongo la mboto...

  WATUMISHI WA MUNGU WAKIMSIFU MUNGU KWA SHANGWE.
28/08/2026

WATUMISHI WA MUNGU WAKIMSIFU MUNGU KWA SHANGWE.

Kanisa la Mungu likiwa katika Uwepo wa Mungu,katika kipindi cha Maabudu...●YESU NJIA,KWELI NA UZIMAKaribu sana tuabudu p...
25/08/2026

Kanisa la Mungu likiwa katika Uwepo wa Mungu,katika kipindi cha Maabudu...

●YESU NJIA,KWELI NA UZIMA
Karibu sana tuabudu pamoja Unaweza fika kwa Mawasiliano 0688 661 251...

25/08/2026

MTUMISHI WA MUNGU ISACK AKIMTUKUZA MUNGU NA WIMBO WA YESU NI NGOME YANGU...
Kumwimbia Mungu ni zaidi ya Raha ona watu nyuso zao na tabasamu la kweli katika hema la Bwana...kwa Mch.Bakwela...

25/08/2026

WAKIMSIFU MUNGU KWA PAMOJA...
Hapa huwa hakuna cha Mchungaji wala Mzee wa kanisa wote ni kusifu na kuruka kwa Yesu.

  MCH. BAKWELA NA WAUMINI WENGINE KATIKA UTULIVU IBADANI.Hakika YESU NI NJIA YA KWELI NA UZIMA...KARIBUNI SANA TUJIFUNZE...
24/08/2026

MCH. BAKWELA NA WAUMINI WENGINE KATIKA UTULIVU IBADANI.

Hakika YESU NI NJIA YA KWELI NA UZIMA...KARIBUNI SANA TUJIFUNZE UKUU WA MUNGU PAMOJA KATIKA HEMA LA FPCT-GONGO LA MBOTO.

24/08/2026

FRANK RICHARD AKIIMBA WIMBO WAKE MPYA ALIOUTAMBULISHA KWA JINA.HAKI YA MZALIWA WA KWANZA.
Unaweza upata YouTube kwa Jina la Frank Richard-Haki ya mzaliwa wa kwanza.

Karibu FPCT-Gongo la mboto tuabudu na kumsifu Mungu pamoja..
Mawasiliano 0688 661 251..

Kwenye ibada sifa na Maabudu huwa vinavuta na kubadirisha hali ya hewa katika ulimwengu wa Roho...Hivyo watu wote hushir...
24/08/2026

Kwenye ibada sifa na Maabudu huwa vinavuta na kubadirisha hali ya hewa katika ulimwengu wa Roho...
Hivyo watu wote hushiriki ili Mungu aguse kila mmoja katika ibada...

  JUMAPILI YA TAR 23.08.2026 IBADA ILIANZA KWA KUMSIFU MUNGU KWA KANISA ZIMA BILA KUJALI NAFASI YA MTU...Kwa Yesu itifak...
24/08/2026

JUMAPILI YA TAR 23.08.2026 IBADA ILIANZA KWA KUMSIFU MUNGU KWA KANISA ZIMA BILA KUJALI NAFASI YA MTU...
Kwa Yesu itifaki huwekwa Pembeni na watu huanza kumtukuza Mungu wa mbinguni.

Address

P. O. BOX 76764, Gongo La Mboto
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT - Gongo la Mboto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to FPCT - Gongo la Mboto:

Shortcuts

Share