Mch Adamu Kitundu Ministry

Mch Adamu Kitundu Ministry Wito ni gharama.....
HESHIMU WALIOKUTANGULIA

18/04/2022

CHUKUA HII ITAKUSAIDIA

POKEA UNABII WA MWAKA 2022
04/01/2022

POKEA UNABII WA MWAKA 2022

Usikose hii mkazi wa kahama...
30/11/2021

Usikose hii mkazi wa kahama...

23/11/2021

NAIBARIKI JUMANNE YAKO KATIKA JINA LA YESU

sema amina......

USIKOSE..........
15/11/2021

USIKOSE..........

10/11/2021

Usikose hii mkazi wa kahama

Shalom shalom wa Mungu........๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹Jioni ya Leo wakati unajiandaa kwa ajili ya ibada ya kesho jumapili nikukumbushe Jambo....
06/11/2021

Shalom shalom wa Mungu........๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹

Jioni ya Leo wakati unajiandaa kwa ajili ya ibada ya kesho jumapili nikukumbushe Jambo.....

Kuna wakati tumekuwa watu ambao tunapenda ibada Sana kuliko kitu chochote katika maisha yetu.Lakini tunapokuwa katika nyumba ya ibada hatupokei K**a inavyotakiwa.... Kwanini ????????

SOMA NAMI HADITHI HII๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
---------------------------------------------------------
โœ๏ธSiku moja Yesu Alikuwa anatembea na Wanafunzi wake,Yesu alitambua kuwa wanakokwenta hakuna uwezekano wa kupata chakula na mpaka wafike watakuwa Wana njaa Sana.Alichokifanya akawaambia kila mmoja abebe jiwe kadri ya uwezo wake.Kiukweli walibeba lakini sio wote walilitumia agizo la Yesu kikamilifu wote walibeba lakini hawakubeba kwa kadri ya uwezo wao, wengine walibeba makubwa Sana mpaka wakashindwa ktembea, wengine makubwa kiasi na wengine kadogo la kuweka begani na wengine walibeba vidooogoo wakaweka kwenye mifuko ya kazi zao lakini ilimladi liitwe jiwe tu.Yesu aliuliza Tena wote mmebeba mawe wakaitikia NDIOOOOOOO๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

โœ๏ธSafari ilipokuwa inaendelea wakafika mahali wakachoka Sana na wengine walilalamika na kumwambia Yesu anawatesa kubeba mawe watembee nayo safari na WALIOKUWA na WALIOKUWA na madogomadogo waliwacheka walibeba mawe makubwa.

โœ๏ธYesu alipoona mti mkubwa wenye kivuli kizuri akawaambia KILA MMOJA AKAE APOMUZIKE LAKINI CHUKUENI MAWE YENU MYASHIKE MKONONI MAANA NITAOMBA YABADILIKE KUWA MKATE ILI TULE๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.wote wakaguna Mmmmmmh ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ hasa waliobeba mawe madogo wakaanza kusema naomba nibalishe jiwe kwanza usiombe kwanza, ๐Ÿ˜‚ YESU ASEMA HAPANA NISHATOA MUDA WAKUTOSHA HIVYO JIWE DOGO KAMKATE KADOGO NAJIWE KUBWA LIMKATE LIKUBWAAAAA๐Ÿ™†๐Ÿ™† NA HAKUNA KUMGAWIA MWENZIO UKIBKIZA KULA BADAEE๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

UJUMBE WANGU

๐ŸŒนUNAPOINGIA KANISANI UNAFASI KUBWA YA KUCHUKUA HAZINA KUBWA KUTOKA MADHABAHUNI HASA WAKATI WA MAFUNDISHO.WATU WENGI TUMEKUWA NA TABIA YA KUCHAMBUA JUMBE AMBAZO MNAHU IRIWA NA WATUMISHI WENU.MTU ANAKWAMBIA UJUMBE HUU UNAMHUSU FULANI HILO NI TATIZO KABISA UKIONA MTU KAFIKA HUKO JUA HUYO ANASHIDA ROHONI.

UNAPOKUWA MADHABAHUNI PAKIA KABISA MAANA UNAHUBIRIWA KITAKUSAIDIA BADAE K**A SIO LEO BASI KITAKUSAIDIA HATA KESHO MAANA SAFARI BADO INAENDELE.

โœ๏ธMUNGU AKUBARIKI SANA PIA NIKUTAKIE JUMAPILI NJEMA.
KWA MKAZI WA KAHAMA KARIBU KESHO TUPO IGOMELO MILANGO 15
KWA MAWASILIANO PIGA-:0743802169/0628202169.

Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi.Ayubu 19:25Karibu Sana mkazi ...
06/11/2021

Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi.
Ayubu 19:25

Karibu Sana mkazi wa kahama uabudu nasi jumapili ya kesho

Tupo-IGOMELO MILANGO15 KWA MAWASILIANO:-0743802169/0628202169

Mkazi wa kahama usikose hii.... ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ
11/10/2021

Mkazi wa kahama usikose hii.... ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255628202169

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mch Adamu Kitundu Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share