KKKT Salasala DMP

KKKT Salasala DMP Ukurasa rasmi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
Usharika wa Salasala

14/08/2026

πˆππ€πƒπ€ π˜π€ π„π•π„ππˆππ† π†π‹πŽπ‘π˜ / πŸπŸ’.πŸŽπŸ–.πŸπŸŽπŸπŸ”

Haleluya mtu wa Mungu.  Tunakukaribisha kujiandaa na semina ya Neno la Mungu itakayoanza week hii ikiongozwa na mtumishi...
12/08/2026

Haleluya mtu wa Mungu. Tunakukaribisha kujiandaa na semina ya Neno la Mungu itakayoanza week hii ikiongozwa na mtumishi Mwinjilisti Geofrey Mbwambo. Karibu tumtukuze Mungu na tujifunze pamoja. Mbariki na mwingine kwa kushare habari hizi njema.

09/08/2026

πˆππ€πƒπ€ π˜π€ π‰π”πŒπ€ππˆπ‹πˆ π“π€πŠπ€π“πˆπ…π” / π‡π€πŠπˆ 𝐇𝐔𝐋𝐄𝐓𝐀 π€πŒπ€ππˆ 𝐍𝐀 π”π’π“π€π–πˆ / πŸŽπŸ—.πŸŽπŸ–.πŸπŸŽπŸπŸ”

Matukio mbalimbali ya picha katika ibada iliyoambatana na uzinduzi wa album ya video ya kwaya ya uinjilisti yenye jina "...
03/08/2026

Matukio mbalimbali ya picha katika ibada iliyoambatana na uzinduzi wa album ya video ya kwaya ya uinjilisti yenye jina "Twendezetu kwa Yesu".

Hakika ilikua baraka sana

cc KWAYA YA UINJLISTI SALASALA

03/08/2026

Katika changamoto yako mwite Yesu aliye msaada wa kweli, wala usikate tamaa maana Mungu bado hajakukatia tamaa.

BWANA yu karibu na wote wamwitao, Wote wamwitao kwa uaminifu. Atawafanyia wamchao matakwa yao, Naye atakisikia kilio chao na kuwaokoa. zaburi 145:18-19

02/08/2026

πŸ”΄ (π‹πˆπ•π„): πˆππ€πƒπ€ π‰π”πŒπ€ππˆπ‹πˆ π“π€πŠπ€π“πˆπ…π” / 𝟐.πŸŽπŸ–.πŸπŸŽπŸπŸ”

02/08/2026

πŸ”΄ (π‹πˆπ•π„): πˆππ€πƒπ€ π‰π”πŒπ€ππˆπ‹πˆ π“π€πŠπ€π“πˆπ…π” / πŒπ–π„ππ„ππƒπŽ 𝐖𝐄𝐍𝐔 𝐔𝐖𝐄 𝐍𝐀 π‡π„πŠπˆπŒπ€ / 𝟎𝟐.πŸŽπŸ–.πŸπŸŽπŸπŸ”

28/07/2026

Kwa neema ya Mungu tulikua na Ibada njema ya Jumapili iliyoambatana na uzinduzi wa Album ya kwaya ya Uinjilisti..Kwaya ya Ukombozi kutoka Kkkt Msasani ilishiriki kuwasindikiza

26/07/2026

πŸ”΄ (π‹πˆπ•π„): πˆππ€πƒπ€ π‰π”πŒπ€ππˆπ‹πˆ π“π€πŠπ€π“πˆπ…π” /

21/07/2026

Ibada ya kuingiza kazini viongozi wapya wa vikundi mbalimbali waliochaguliwa hivi karibuni.
Tunamshukuru Mungu kwa wao kuweza kupokea wito wa kumtumikia Mungu, baraka za Mungu ziwe pamoja nao.
Tuzidi kuwaombea.

Address

Mbezi Beach
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT Salasala DMP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share