bcic_church

bcic_church Karibu BCIC- OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA

MPINGENI SHETANI ATAWAKIMBIAโ€œBasi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.โ€ (YAK 4:7)KARIBU BCIC MBEZI BEACH JO...
08/09/2022

MPINGENI SHETANI ATAWAKIMBIA

โ€œBasi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.โ€ (YAK 4:7)

KARIBU BCIC MBEZI BEACH JOGOO JUMAPILI HII KATIKA IBADA YA MAOMBEZI MAALUM YA KUWEKWA HURU MBALI NA PEPO WABAYA, MITEGO YA KICHAWI NA MAGONJWA; (NI UFUNUO WA ROHO: 37)

NI KATIKA OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA
Mawasiliano zaidi 0710126688 au 0758751111

Ni kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 8:00 ya alasiri!
Karibu kwa ajili ya
Fundisho Sahihi la Kristo
Uponyaji wa Yesu Kristo
Nguvu za Roho Mtakatifu
NYOTE MNAKARIBISHWA NA BWANA YESU ATABADILI MAISHA YAKO KIBINAFSI NA FAMILIA YAKO MILELE!

18/07/2022
JINSI YA KUMPOKEA ROHO MTAKATIFU NI JUMAPILI HII BCIC MBEZI BEACH JOGOONI KATIKA OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA Askofu...
14/07/2022

JINSI YA KUMPOKEA ROHO MTAKATIFU

NI JUMAPILI HII BCIC MBEZI BEACH JOGOO
NI KATIKA OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA Askofu Sylvester Gamanywa akishirikiana na jopo la kichungaji anakukaribisha sana kila mwenye kiu ya Mungu kujidhihirisha kwako, mwenye kuhitaji raha moyoni, uponyaji, kufunguliwa na kumpokea Roho Mtakatifu na kusema kwa lugha mpya; ni kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 8:00 ya alasiri!
Karibu kwa ajili ya
Fundisho Sahihi la Kristo
Uponyaji wa Yesu Kristo
Nguvu za Roho Mtakatifu
NYOTE MNAKARIBISHWA NA BWANA YESU ATABADILI MAISHA YAKO KIBINAFSI MILELE
Subscribe Youtube Channel Bishop Sylvester Gamanywa
https://www.youtube.com/c/BishopSylve...
Subscribe Wapo TV
https://www.youtube.com/channel/UC1nD...




ROHO WA BWANA JUU YANGULuka 4:18"Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema.....
21/05/2022

ROHO WA BWANA JUU YANGU

Luka 4:18
"Roho wa Bwana yu juu yangu,
Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema......"

NI JUMAPILI YA 21 YA UFUNUO WA ROHO BCIC MBEZI BEACH JOGOO KUANZIA SAA 4:00 YA ASUBUHI MPAKA SAA 8:00 YA ALASIRI KATIKA IBADA ZA OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA
(MAOMBEZI MAALUM YATAFANYIKA KWA WATU WOTE NA KILA MWENYE UHITAJI MAALUM WA KIROHO, KIAFYA, KICHUMI NA KIJAMII)

Unaweza kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi kupitia nambari 0710126688 au 0758751111

Subscribe to Youtube Channel Bishop Sylvester Gamanywa
https://www.youtube.com/c/BishopSylvesterGamanywaBCIC
Follow page: https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa
Subscribe to Wapo TV ONLINE
https://www.youtube.com/c/WAPOTVONLINE

MBIO ZA IMANI NI JUMAPILI YA HII  BCIC MBEZI BEACH JOGOO KUANZIA SAA 4:00 YA ASUBUHI MPAKA SAA 8:00 YA ALASIRI KATIKA IB...
14/05/2022

MBIO ZA IMANI

NI JUMAPILI YA HII BCIC MBEZI BEACH JOGOO KUANZIA SAA 4:00 YA ASUBUHI MPAKA SAA 8:00 YA ALASIRI KATIKA IBADA ZA OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA
(MAOMBEZI MAALUM YATAFANYIKA KWA WATU WOTE NA KILA MWENYE UHITAJI MAALUM WA KIROHO, KIAFYA, KICHUMI NA KIJAMII)

Unaweza kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi kupitia nambari 0710126688 au 0758751111

Subscribe to Youtube Channel Bishop Sylvester Gamanywa
https://www.youtube.com/c/BishopSylvesterGamanywaBCIC
Follow page: https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa
Subscribe to Wapo TV ONLINE
https://www.youtube.com/c/WAPOTVONLINE

KARIBU KUUNGANA NASI KWENYE IBADA LIVE SASA HIVI..
08/05/2022

KARIBU KUUNGANA NASI KWENYE IBADA LIVE SASA HIVI..





UNATARAJIA JAMBO GANI KUTOKA KWA MUNGU?NI KATIKA MKESHA WA OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA AMBAPO UJUMBE WA NENO LA MUN...
04/05/2022

UNATARAJIA JAMBO GANI KUTOKA KWA MUNGU?

NI KATIKA MKESHA WA OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA AMBAPO UJUMBE WA NENO LA MUNGU UTATOLEWA UKIAMBATA NA MAOMBI NA MAOMBEZI MAALUM KWA WASHIRIKI WOTE WA DINI ZOTE
KATIKA UIMBAJI WA SIFA NA KUABUDU LITAONGOZWA NA WATUMISHI WA MUNGU, GWAMAKA MWAKALINGA , MTUMISHI GOODLUCK MSUYA NA SPIRIT MELODIES, MAOMBI NA MAOMBEZI YA KUPOKEA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU, KUFUNGULIWA, NA UPONYAJI YATAONGOZWA MWANGALIZI MKUU WA WAPO MISSIONINTERNATIONAL, ASKOFUSYLVESTERGAMANYWA!

(NI IJUMAA HII YA TAREHE 6/5/2022 BCIC MBEZI BEACH JOGOO KUANZIA SAA 3:00 USIKU MPAKA SAA 10:00 ALFAJIRI) Na kwa mawasiliano zaidi, 0710126688 au 0758751111 namba hizi zinapatikana whatsup pia

Roho Mtakatifu atakuweka huru!
KARIBU KWA AJILI YA MUUJIZA WAKO!



Kwa Taarifa mbalimbali kuhusu huduma zetu,pamoja na Mafundisho ya KINA ZAIDI,
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa

Subscribe๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https:

UKO TAYARI KWA AJILI YA MUUJIZA WAKO?KATIKA MKESHA HUU WA OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA AMBAPO KATIKA ENEO LA UIMBAJI...
03/05/2022

UKO TAYARI KWA AJILI YA MUUJIZA WAKO?

KATIKA MKESHA HUU WA OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA AMBAPO KATIKA ENEO LA UIMBAJI WA SIFA NA KUABUDU LITAONGOZWA NA MTUMISHI WA MUNGU GWAMAKA MWAKALINGA , MTUMISHI GOODLUCK MSUYA NA SPIRIT MELODIES, MAOMBI NA MAOMBEZI YA KUPOKEA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU, KUFUNGULIWA, NA UPONYAJI YATAONGOZWA MWANGALIZI MKUU WA WAPO MISSIONINTERNATIONAL, ASKOFUSYLVESTERGAMANYWA!

(NI IJUMAA HII YA TAREHE 6/5/2022 BCIC MBEZI BEACH JOGOO KUANZIA SAA 3:00 USIKU MPAKA SAA 10:00 ALFAJIRI) Na kwa mawasiliano zaidi, 0710126688 au 0758751111 namba hizi zinapatikana whatsup pia

Roho Mtakatifu atakuweka huru!
KARIBU KWA AJILI YA MUUJIZA WAKO!



Kwa Taarifa mbalimbali kuhusu huduma zetu,pamoja na Mafundisho ya KINA ZAIDI,
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa

Subscribe๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.youtube.com/c/BishopSylvesterGamanywaBCIC

Address

Jogoo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when bcic_church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to bcic_church:

Share

Category