Ambassadors Ilala SDA

Ambassadors Ilala SDA "As the father has sent me, so I am sending you AMBASSADORS"
Fostering new generation of spiritual leaders. Welcome!!

Karibu karibu Sana. Wakati wa Kubarikiwa katika Uwepo wa BWANA ni sasa.
26/07/2025

Karibu karibu Sana. Wakati wa Kubarikiwa katika Uwepo wa BWANA ni sasa.

Kwa mioyo iliyojaa huzuni isiyopimika, tunasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wetu Ndg. Castory Thadeo, kilichotokea ha...
11/07/2024

Kwa mioyo iliyojaa huzuni isiyopimika, tunasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wetu Ndg. Castory Thadeo, kilichotokea hapo jana. Alikuwa ni mmoja ya wanachama wetu na alitumika katika kwaya yetu kwa miaka kadhaa. Hatuna budi kumshukuru Mungu hata kwa hili. BWANA ametoa, BWANA ametwaa, Jina lake lihimidiwe.

NGUVU YA KWELI. THE POWER OF TRUTH.Mahubiri haya yatarushwa na Injili Leo TV. Alika wengine. JIHUSISHE SASA KATIKA INJIL...
15/04/2023

NGUVU YA KWELI. THE POWER OF TRUTH.
Mahubiri haya yatarushwa na Injili Leo TV. Alika wengine. JIHUSISHE SASA KATIKA INJILI YESU ANAKUJA. Sambaza Kweli zenye Nuru ziwatoe watu gizani. Kuanzia Tarehe 15-29 April 2023. Link iko hapa chini kuanzia kesho tutakuwa hewani.

https://youtube.com/



17/03/2023


Karibu tusherehekee Siku ya WatafutaNjia Duniani ktk Kanisa la Waadventista wa Sabato Ilala.
18/09/2021

Karibu tusherehekee Siku ya WatafutaNjia Duniani ktk Kanisa la Waadventista wa Sabato Ilala.

Wote mnakaribishwa
27/08/2021

Wote mnakaribishwa


21/08/2021
15/05/2021

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ambassadors Ilala SDA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ambassadors Ilala SDA:

Share