Ushindi Msalabani

Ushindi Msalabani Saa Ya Ushindi Msalabani

01/09/2026
Usipange kukosa Jumatano hii.Bwana ana neno kwaajili yako. Ibaada saa 11 jioni kamili 🔥🔥
01/09/2026

Usipange kukosa Jumatano hii.
Bwana ana neno kwaajili yako. Ibaada saa 11 jioni kamili 🔥🔥

“Ee BWANA, wewe u Mungu wangu; Nitakutukuza na kulihimidi jina lako; Kwa kuwa umetenda mambo ya ajabu, Mashauri ya kale,...
30/08/2026

“Ee BWANA, wewe u Mungu wangu; Nitakutukuza na kulihimidi jina lako; Kwa kuwa umetenda mambo ya ajabu, Mashauri ya kale, kwa uaminifu na kweli.”
‭‭Isa‬ ‭25‬:‭1‬ ‭SUV‬‬

“Amegeuza jangwa ikawa ziwa la maji, Na nchi kavu ikawa chemchemi za maji.”‭‭Zab‬ ‭107‬:‭35‬ ‭SUV‬‬
30/08/2026

“Amegeuza jangwa ikawa ziwa la maji, Na nchi kavu ikawa chemchemi za maji.”
‭‭Zab‬ ‭107‬:‭35‬ ‭SUV‬‬

30/08/2026

IBADA YA JUMAPILI | Kigamboni Mji Mwema | 30.08.2026

28/08/2026

Hata katikati ya changamoto ulizo nazo usiangalie hayo Mungu yupo na mpango na wewe

Nira yako na imeondokewa ili ufikie mahali ambapo Mungu amekusudia
28/08/2026

Nira yako na imeondokewa ili ufikie mahali ambapo Mungu amekusudia

Baba Yetu Mpendwa❤️🔥🔥.                                                    BADO HUJACHELEWA KUPOKEA NENO LAKO LA LEO🙂‍↔️🫵...
28/08/2026

Baba Yetu Mpendwa❤️🔥🔥. BADO HUJACHELEWA KUPOKEA NENO LAKO LA LEO🙂‍↔️🫵🏽

Bado hujachelewa, karibu sana kwenye Usiku wa Kuvuka Yordan
28/08/2026

Bado hujachelewa, karibu sana kwenye Usiku wa Kuvuka Yordan

Address

Kigamboni Mjimwema
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ushindi Msalabani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share