05/04/2025
๐๐ฃ๐๐ฅ๐ง 2๏ธโฃ
โ๐ก๐ถ ๐ถ๐๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ฏ๐ฎ๐น๐ถ ๐ธ๐ถ๐บ๐ฒ๐ณ๐๐ป๐ด๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ฎ๐ด๐ฎ๐ป๐ผ ๐ป๐ฎ ๐บ๐ถ๐๐ป๐ด๐ ๐บ๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐ป๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐ ๐๐ฎ ๐ฟ๐ผ๐ต๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ถ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ฎ๐ฟ๐ฑ๐ต๐ถ.
โ Kibali hiki kinaweza kuwa cha kumiliki ndoa,uzao,fedha,biashara,elimu,kazi,na milki nyingine ambazo mtu alikusudiwa na Mungu amiliki.
๐๐ญ ๐ก๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ถ ๐ฑ:๐ฎ๐ฑ
[25] Nao ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐บ๐๐ฎ๐๐ถ ๐ ๐๐ป๐ด๐ wa baba zao, ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ต๐ฒ๐ฟ๐ฎ๐๐ถ na ๐บ๐ถ๐๐ป๐ด๐ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ ๐๐ฎ ๐ป๐ฐ๐ต๐ถ, ambao Mungu alikuwa amewaangamiza mbele yao.
๐๐๐๐ฎ๐๐ฎ ๐ฒ๐ฎ:๐ฐ
[4] Hutaitwa tena Aliyeachwa, wala nchi yako haitaitwa tena, Ukiwa; bali utaitwa Hefsiba; na nchi yako Beula; kwa kuwa BWANA anakufurahia, na ๐ป๐ฐ๐ต๐ถ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ ๐ถ๐๐ฎ๐ผ๐น๐ฒ๐๐ฎ.
โ Nchi maana yake ni ardhi yenye mipaka halali ya kiumiliki.(๐๐ ๐๐ฎ๐ป๐๐ผ ๐ญ:๐ญ๐ฌ-๐ญ๐ญ). Katika ๐๐๐ฎ๐๐ฎ ๐ฒ๐ฎ:๐ฐ,inaonyesha uhusiano wa ๐บ๐๐ na ๐ฎ๐ฟ๐ฑ๐ต๐ถ , ambapo kibali cha Mungu kinaporejea juu ya mtu(Hefsiba),Mungu anarejesha kibali juu ya ardhi(Beula) pia,ndipo Mungu hufunga agano na ardhi(nchi inaolewa).
โIle kwamba ardhi inaolewa,neno kuolewa ni lugha ya kiagano,Mungu anakuwa mume(๐๐๐๐ฎ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฐ:๐ฏ-๐ฑ),mtawala na mmiliki kihalali juu ardhi hiyo,maana ardhi humuwakilisha mtu husika,ikifungwa kiagano kwa miungu,mtu hufungwa ndio maana Malaki anasema mtakuwa nchi yenye kupendeza(๐๐ ๐ฎ๐น๐ฎ๐ธ๐ถ ๐ฏ:๐ญ๐ฎ),kwa hiyo mtu ni ardhi,ardhi huwakilisha mtu.Aina ya ibada na sadaka juu ya ardhi huamua imilikiwe/iolewe na mungu au miungu.
โArdhi ni vazi katika ulimwengu wa roho,iliumbwa na kutokea k**a vazi(๐๐๐๐๐ฏ๐ ๐ฏ๐ด:๐ต-๐ญ๐ฐ).Vazi hili ndilo pia hivikwa mtu katika ulimwengu wa roho ili kuithibitisha maneno yaliyotamkwa juu ya ardhi,ndio maana wenye mamlaka wakiitamkia ardhi iwe tasa,wasifanikiwe,athari huja kwa mtu ingawa ardhi ndio ilisemeshwa (๐๐ฌ๐ฒ๐ฟ๐ฒ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฎ๐ฎ:๐ฎ๐ต-๐ฏ๐ฌ).
โโVazi hili huja kwa wengine kwa ndoto ya kujiona shule ya zamani,maana yake mtu ๐ฎ๐บ๐ฒ๐๐ฒ๐ธ๐ฒ๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐ฝ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐บ๐ถ๐น๐ถ๐ธ๐ถ,ana vazi la uanafunzi,kuna vitu hawezi kumiliki,bado lango lake la muda linasoma nyakati za zamani,hajaanza kuiishi leo yake.
๐ฅ
๐ฅ
๐ฅTutaendelea..